mtoto mpole
JF-Expert Member
- Mar 22, 2010
- 678
- 148
Chinembe na Ryaro mnafanna miandiko. Mlisoma shule moja?
😅😅😅😅 kweli kabisaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chinembe na Ryaro mnafanna miandiko. Mlisoma shule moja?
Ukawa waiteka ngome ya CCM Tabora........
Bashe kura za ubunge nipeni mimi za Uraisi Lowasa.........
Hizo porojo za UKAWA nadhani majibu yake mliyapata. Hata hili majibu yake mtayapata endeleeni kuishi kwa matumaini
Chato inachemka,naona katibu mwenezi anamwaga seraNilipita hapo Geita jana mtaa wa soko kuu niliona watu wengi sana wamezingira bango la UKAWA lililokuwa limeandikwa LOWASA TUSAIDIE SISI WACHIMBAJI WADOGOWADOGO. Kwa sasa niko hapa Chato rais anatarajiwa mchana lakini mji umeshazizima. Nimelala Geita pia kulikuwa na mkesha wa Lowasa uwanja wa MAGEREZA.
We ngombe. Miaka 50 ccm wameongea dk ngapi na wamefanya nn.
WATZ WANATAKA MABADILIKO
Napingana nawe huyo Ryaro kila neno anaanza na herufi kubwa katikati ya sentensiChinembe na Ryaro mnafanna miandiko. Mlisoma shule moja?
Yaani nchi tumkabidhi fisadi!!hapana haiwezekani
Chinembe na Ryaro mnafanna miandiko. Mlisoma shule moja?
Huyu fisadi hana jipya atazomewa kila sehemu hafai ni fisadi tu.
Yule Kokoro wao Arusha alipita kwa ndege.. hata barabara hakuthubutu.. Na yule Mama yao pia hakufanya mkutano wowote Arusha, akakimbilia Longido kununua wamasai. Lowassa anaenda kumpiga kokoro mpaka chumbani kwake... hahahahaha Chama Cha Mashoga lazima kipanic
Kuna Jamaa yangu anasema Lowassa anakubalika sana kule Pia Chadema kule ni kama Nyumbani.
Ujio wa Lowassa Chato umekuja kuchukuwa Kura za Vijana na wamama. Maana wazee ambao sio wengi ni Magufuli Pure sababu katoka CHATO!
Nafuu nchi akaidhiwe Fisadi kuliko nchi kuwaachia Mafisadi