Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Mji umesimama?? mkuu acha uongo bwana, watanzania wanapenda maigizo wamekuja kuangalia maigizo ya Ukawa bure, kiingilio miguu yao, kura CCM

Na mwaka huu lazima mfe na Stroke.
 
Mbona ccm wamechafua miji yetu kwa mapicha yao

ni muhimu kufahamu sura ya wagombea ili pale kwenye kisanduku usipate tabu, hata za mgombea wa ukawa zipo Mabango makuuuubwa, tunashukuru maana mnatuwekea vivuli
 
Ngumu kumeza hiyo,umeeandika matope kweli kweli.
 
jamani ccm tuna hali mbaya.
we can't fight them, let's join them jamani mweee.
 

Ukawa huwa wanapaki yao mbali wanaelekea eneo la tukio kwa miguu, CCM hakuna usanii na maigizo tunajiamini tunachokifanya, tupo wazi, kama hapo unaona jamaa wamefika salama kabisa mkutanoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…