Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Mji umesimama?? mkuu acha uongo bwana, watanzania wanapenda maigizo wamekuja kuangalia maigizo ya Ukawa bure, kiingilio miguu yao, kura CCM

Na mwaka huu lazima mfe na Stroke.
 
Mbona ccm wamechafua miji yetu kwa mapicha yao

ni muhimu kufahamu sura ya wagombea ili pale kwenye kisanduku usipate tabu, hata za mgombea wa ukawa zipo Mabango makuuuubwa, tunashukuru maana mnatuwekea vivuli
 
Umemaliza Kila Kitu Mkuu Asipokuelewa Anafanya Makusudi Tu. Asidhani Kuwa Wote Hapo Ni Watu Wa UKAWA Kwani Kuna Matahaira Vile Vile Wasioweza Kupiga Hata Kura Lakini Kama Haitoshi Na Kuna Wasiojiandikisha Kupiga Kura Na Kwa Kumalizia Tu Kuna Wengine Ambao Hujitokeza Kuja Tu Kuwaangalia Hao MAFISADI Na MAJIZI ( Lowassa Na Sumaye ) Ya Tanzania Yalivyo Ili Siku Ya Kupiga Kura Wawachinje Vizuri Na Wampigie Kura MZALENDO Na KIPENZI Cha Watanzania Wanaojitambua Dr. John Pombe Joseph Magufuli.
Ngumu kumeza hiyo,umeeandika matope kweli kweli.
 
jamani ccm tuna hali mbaya.
we can't fight them, let's join them jamani mweee.
 
Ni kwamba hawajabebwa na MAFUSO hao, wanania na mabadiliko wameenda kwa usafiri wao wenyewe.

Mikutano ya MAGUFULI kama siyo mambo haya hapa chini hawapati hata watu kumi.


Ukawa huwa wanapaki yao mbali wanaelekea eneo la tukio kwa miguu, CCM hakuna usanii na maigizo tunajiamini tunachokifanya, tupo wazi, kama hapo unaona jamaa wamefika salama kabisa mkutanoni.
 
Back
Top Bottom