Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Ungejua chato Magufuli hapendwi usingesema hayo
Hata uchaguzi wa 2010 pale mjini alikuwa amechezea za uso, ilibidi asubiri za mashambani ndo ashinde!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungejua chato Magufuli hapendwi usingesema hayo
Umemaliza Kila Kitu Mkuu Asipokuelewa Anafanya Makusudi Tu. Asidhani Kuwa Wote Hapo Ni Watu Wa UKAWA Kwani Kuna Matahaira Vile Vile Wasioweza Kupiga Hata Kura Lakini Kama Haitoshi Na Kuna Wasiojiandikisha Kupiga Kura Na Kwa Kumalizia Tu Kuna Wengine Ambao Hujitokeza Kuja Tu Kuwaangalia Hao MAFISADI Na MAJIZI ( Lowassa Na Sumaye ) Ya Tanzania Yalivyo Ili Siku Ya Kupiga Kura Wawachinje Vizuri Na Wampigie Kura MZALENDO Na KIPENZI Cha Watanzania Wanaojitambua Dr. John Pombe Joseph Magufuli.
Ndio ushangae hapo ni mgombea hajafika na nyomi ndio hiyo
jamani ccm tuna hali mbaya.
we can't fight them, let's join themjamani mweee.
Muhindo propaganda zako peleka vunjo tangulini umekuwa msemaji watu sisi watanzani sema mashabiki tumeamua sio watanzania tumeamua. nyie amuaeni kivyenu na sisi tutaamua kivyetu hapa
"Hapa Kazi tu"
VIVA WANACHATO VIVA UKAWA.Lowassa Mabadiliko ......Mabadiliko Lowassa
Mji umesimama?? mkuu acha uongo bwana, watanzania wanapenda maigizo wamekuja kuangalia maigizo ya Ukawa bure, kiingilio miguu yao, kura CCM
Waangalie hawa nao ndio hao unaosema wanaenda kujaza mkutano wa Chama Cha Majambazi. Sijui hyu dogo kama amefikia umri wa kupiga kura, angalia nababa yake anavyomwambia.