Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Sawa mnatuonesha watu kwenye mikutano yenu, swali ni je wamewaelewa mnachowaambia, na mnauhakika kua watawapigia kura???

kawaulize wale wa ruvuma walio ulizwa mbele ya magufuli kwamba raisibwenu naniiiii.... wakasema lowasaaaaa
 
Hivi Magufuli amashaweka sawa kati yake na mke wake? Kama nyumba yake imemshinda ndio ataweza kuongoza taifa. Tafakari, chukua hatua
 
Muhindo propaganda zako peleka vunjo tangulini umekuwa msemaji watu sisi watanzani sema mashabiki tumeamua sio watanzania tumeamua. nyie amuaeni kivyenu na sisi tutaamua kivyetu hapa
"Hapa Kazi tu"

Jidanganye peleka ujinga huko
 
Yule kokoro wa CCM hapo Chato hawataki hata kumsikia.. Sababu kubwa ni ushirikina wake.. Kofuli ni mshirikina aliyekubuhu, na wala hana time na Chato yake.. Hapo hata Ubunge angepigwa chini mwaka huu kama vile alivyopita kwa mbinde 2010

Kawaida Wachawi Hujuana. Bora Yeye Mchawi Na Sasa Anagombea Urais Na Ndiyo Atakuwa Rais Wako UTAKE USITAKE. Sijui Wewe Na Huo Uchawi Wako Usio Na Tija Mpaka Leo Umekusaidia Nini. Utabaki Na Huo Huo UMASIKINI Wako ULIOTUKUKA Huku Ukiwa Huna Mbele Wala Nyuma.
 
attachment.php
attachment.php
attachment.php
 
Edo ni habari nyingine yule.jamaa alijipanga sio mchezo.Kampeni zake.ni hatari ni mzee wa mipango balaaa.Amini usiamini CCM inakufa aiseee

Wacha iwafilie mbali wakajipange upya wanadhani hii nchi ni milki yao peke yao? mpaka wamejisahau wamebweteka kwa kuvimbiwa kila unaemuona wa ccm limenenepa hata kujigeuza hawezi kwa sababu ya uroho na ulafi. Wao wanatuambia UKAWA tutaisoma namba, mbona kibao kimewageukia?
 
Back
Top Bottom