Hv UKAWA mnajitambua kweli?Kila concern yenu ni nyomı,mafuriko.Hata watu wakiwa kumi utasikıa nyomi hatare.Hao watu wa Chato wala si wengı kwa idadi ya ajabu,tungetafuta wangetupa idadi then tukangoja John aende huko ili tufanye ulinganifu.Maneno km hayo yalifanyika Jangwani na Moro.Mnajisıfıa kwa vıtu ambavyo havpo,sema hamhudhurii mikutana ya wenzenu kuona uhalisia.Mlizidiwa Jangwani,Moro na Tabora lakn mkawa mnakazana kuwa mnajaza watu.Hata hvyo mtapata watu kwenye mikutano wenye kiu ya kujiridhsha na uwezo wa mtu wenu kihoja na kinguvu.Bahati mbaya anashndwa kuprove,anawa-disappoint.