Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Umemaliza Kila Kitu Mkuu Asipokuelewa Anafanya Makusudi Tu. Asidhani Kuwa Wote Hapo Ni Watu Wa UKAWA Kwani Kuna Matahaira Vile Vile Wasioweza Kupiga Hata Kura Lakini Kama Haitoshi Na Kuna Wasiojiandikisha Kupiga Kura Na Kwa Kumalizia Tu Kuna Wengine Ambao Hujitokeza Kuja Tu Kuwaangalia Hao MAFISADI Na MAJIZI ( Lowassa Na Sumaye ) Ya Tanzania Yalivyo Ili Siku Ya Kupiga Kura Wawachinje Vizuri Na Wampigie Kura MZALENDO Na KIPENZI Cha Watanzania Wanaojitambua Dr. John Pombe Joseph Magufuli.

Waangalie hawa nao ndio hao unaosema wanaenda kujaza mkutano wa Chama Cha Majambazi. Sijui hyu dogo kama amefikia umri wa kupiga kura, angalia nababa yake anavyomwambia.


 
attachment.php

Hii sasa sifa yaani mnamchapa mzee wa kukariri barabara nyumbani kwake.
 
Wanaangalia wasanii tu.kawaida zetu hawajavutwa na sera hapo ujue.
 
Muhindo propaganda zako peleka vunjo tangulini umekuwa msemaji watu sisi watanzani sema mashabiki tumeamua sio watanzania tumeamua. nyie amuaeni kivyenu na sisi tutaamua kivyetu hapa
"Hapa Kazi tu"

Kazi gani unayo wewe mtategemea kazi ya kuiba kura lkn hamtawezaaa ccm mungu awapige upofu msione cha kuiba na lugha zenu zigongane msielewane. Hujui tunafunga na kusali kuiombea nchi hii na viongozi wote wa UKAWA.
 
Ss km picha haipigi kura za ccm mnapiga na kusambaza bure mikoani ili iweje,km picha hazipigi kura hizo picha ni za miti au watu...lowasa ndiye rais hao wengn ni wasindikizaji tu
 
Hv UKAWA mnajitambua kweli?Kila concern yenu ni nyomı,mafuriko.Hata watu wakiwa kumi utasikıa nyomi hatare.Hao watu wa Chato wala si wengı kwa idadi ya ajabu,tungetafuta wangetupa idadi then tukangoja John aende huko ili tufanye ulinganifu.Maneno km hayo yalifanyika Jangwani na Moro.Mnajisıfıa kwa vıtu ambavyo havpo,sema hamhudhurii mikutana ya wenzenu kuona uhalisia.Mlizidiwa Jangwani,Moro na Tabora lakn mkawa mnakazana kuwa mnajaza watu.Hata hvyo mtapata watu kwenye mikutano wenye kiu ya kujiridhsha na uwezo wa mtu wenu kihoja na kinguvu.Bahati mbaya anashndwa kuprove,anawa-disappoint.
 
Mji umesimama?? mkuu acha uongo bwana, watanzania wanapenda maigizo wamekuja kuangalia maigizo ya Ukawa bure, kiingilio miguu yao, kura CCM

Tunakula sisiem kura zetu ukawa tuu
 
Ma FISIEM yana hasira na yanaumia sana wanapoona mambo km haya,,wako tayar kutukn au kuongea chcht kibaya ili wasikike,,,najua siku magupombe atakapo enda chato FISI EM watawasomba hadi watoto wa shule mpka miti watasomba ili ijaze uwanja na watakuwa na wasanii mia moja siku hy...fisiem hovyoooo
 
Back
Top Bottom