Angeandika mtu mwingine ningetafakari kidogo lakini wewe kiazi mmalangu huna kitu.
Hapa wote tuna akili, hivi kweli mnamsikia Lowasa akiongea? Kweli kila mtu anaweza patwa na chochote na hujafa umeumbika, kweli Lowasa anaweza kuongea jamani, mimi namkubali sana lakin naona kama jamani hebu tuwe fair kwa nchi yetu labda kama ni wasaidizi tu wataendesha nchi. Hakuna mtu anamweza kufurahia kuona mwenzake anaumwa lakin honestly anahitaji mapumziko. Nimesikiliza akiongea Geita there is nothing unaweza kusikia. Namuombea Mungu ampe afya njema InshaAllah.
Khaa!! Ana nyota ya KUKATWAaiseh huyu jamaa sijui ana nyota gani. Kweli lowassa mwamba
Mnatupigia propaganda humu ndani kumbe jamaa kashindwa kuongea bana, kisa mike hazisikiki vizuri. Lisu kaahidi watarudi tena wakiwawamejiandaa vizuri UKAWA kazi mnayo mwaka huu CDM chama nichokipenda kinakwenda kupotea kwenye ramabi za siasa hivihivi....
Tatizo yule mzee ni m'bishi,nimemwambia tangulia ikulu kura zitakufuata huko huko hanielewi
Hata kama kusoma hujui picha huoni.Angeandika mtu mwingine ningetafakari kidogo lakini wewe kiazi mmalangu huna kitu.