Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

ndio maana ccm ilipigwa vibaya sana kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa .
 
Nyie Chato hamuijui.

Kabla ya Magufuli chato kilikuwa kijiji yani bushiiiii. Ktk Wilaya zote Tanzania Chato ndo imepiga hatua kutoka kijiji hadi muonekano muonekano kwa kasi mno. Alichofanya Magufuli hadi mnayoiona hiyo chato ya leo kafanya kazi kubwaaaa mnoooooooooooo
 
Ukitaka kujuwa Magufuli ni mzigo kwa Ccm ni mkutano Lowassa aliofanya Chato leo.
Watu hawamtaki magufuli kila mtu lowassa na mabadiliko.
Ina maana kama Lowassa amepata ushindi mkubwa namna hii nyumbani kwa Pombe nani tena wakumzuia asiingie ikulu.

Membe anahaha kwa kufanya kila njia sasa kaleta waganga wa kienyeji 200 toka mataifa mbalimbali waje kumhujumu ukawa, Lakini cha ajabu anashangaa ukawa wanazidi kupaa zaidi.
 
Katika hali isiyo ya kawaida wananchi wa wilaya ya chato anapotoka mgombea wa ccm walijitokeza kwa wingi kutoa kero zao kwa mgombea wa ukawa E.L ingawaje akuweza kuhutubia kutokana na vyombo vya sauti kutofanya kazi.


source ITV
 
hii ni kama fainali ya EUFA team ni fc barcelona(lowasa)vs maccabi haifa(magufuli)
 
Hizi nock out za mapema, Lowassa hamtendei haki Magufuli.

Huko kwingine ni mifano midogo kazi inaandaliwa Jimboni kwa Nape ambapo ni Ngome ya Membe yule Adui namba moja wa Lowasa huko ndipo wanajiandaa kupiga mkutano wa kihistoria ingawa Membe ameleta Waganga wa kienyeji wengi kuwazuia wasifanikishe kupata watu Jimboni kwa Nape ili kumwokoa Nape vuvuzela ambaye amekuwa akitumiwa na Membe kumhujumu Lowasa kwa mbinu mbalimbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…