Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

hivi ww unafikiri Magufuli anaweza kujaza watu bila DIAMOND, ALLY KIBA, THE COMEDY, YAMOTO BAND, FUTUI NA KINA WEMA?????


MAGUFULI ni saiz ya LISSU, ZITTO , JJ MNYIKA.

LOWASSA ni habari nyingine.

Hiyo ni strategy tu ya kufanya watu waje..
 
Hata kampeni za kupunguza maambukizi ya HIV wanatumia wasanii kuwavuta pale ili wapate elimu ya Afya na mwisho wa siku watu wanapata elimu. Saizi kila mtu anajua UKIMWI ni nini.

ulishaona mgao wa mahindi au hela wanakuja diamond. ujue maguguli wako ni kama ukimwi. mpaka watu uwalazimishe kumsikiliza
 

Hayo yote uliyosema ni kweli tupu na nakupongeza sana kwa uchambuzi wa kina usiyo na hata chembe ya ushabiki wa kisiasa.
 

Aisee kama alifkia kuwaambia hivi wapigakura kushindwa ni haki yake ya msingi..ngoja tufuate mabadiliko nje ya CCM.
 
INABID UKAPIMWE AILI WW, INAWEZA KUWA UNAKILI KAMA YA INZI, KUNA WATU WANA MISIMAMO cyo wakuyumbishwa. So tofautisha MSIMAMO na UBAGUZI akili ndogo ww
 
Magufuli aliwapa za uso Jamaa zake wa Bziku eti Kama wanataka lami wanye halafu wasambaze kinyesi iwe lami.duuuuh kaziiii kwelikweli

Magufull ana madharau wakati mwingine sana. Ni kauli hizo aliwatolea watu wa kigamboni wapige mbizi.
 
Mwogope Mungu wewe eti watu hawamtaki magufuli, eti kila mtu lowassa, jipeni matumaini, hakika nakwambia lowassa atagalagazwa na magufuli mchana kweupe, el anawafaa sana nyie wanywa viroba msioweza kufikiri, tena anafaa huko huko kwenu pambafu

Punguza hasira na jazba tutaheshimiana tu. Lazima mkae.
 

You're Very Fatuous And Asinine Brother.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…