munirah
JF-Expert Member
- Mar 13, 2015
- 551
- 224
chadema muwe makini na mdundo mnaoucheza wa ngoma ya lowasa ya umati/mafuriko. Siku hizi hotuba nzuri/mawe kwa utawala siyo tena ajenda yenu.
Sikuwepo jana chato ila nimeishi chato kwa vipindi tofauti magufuli akiwa mbunge.
Haijalishi ule umati wa chato ni wanachato au wanageita ila ukweli mchungu ni kwamba mkoani geita ukawa itapata pesa kura kiduchu sana za urais.
Wekezeni kwenye siasa za ushawishi, mkiendelea kuwekeza nguvu kwenye kujaza watu pekee mtapotea kama wafuasi wa kibwetele
kama nakuona hapo juu umewahi seat tayar sasa ufunge mkanda kabisa