Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Kuna wakati huwa huruma inanijia nikifikiri mjomba wetu Makomeo alivyoachiwa jumba bovu ahahngaike nalo maana mimi mama yangu na mtu wa kanda ya zee war.
 
Kwa kweli napata shida na mahaba ya wananchi kwa LOWASSAAAA yani kwa kweli
 
Mi nawashauri na wao wakafanye mkutano Monduli

Samia si alikwenda Monduli... wee... aligeuza fasta...!!! Alikutana na uwanja mweupeeee...!!! viti vitupu kwa 95%. wamama wachache waliokwenda kwake wanaimba tu Oyaaa laleyooo... oyaaa laleyooo... Lowassa juu juuu... Lowassa juu juuu...

Mama Samia akawa nashangaa tu nn kinaendelea maana wamama wa Kimasai hawajui nini wala nini, wao ni Lowassa Oooh Laleyoooo...!!! Akwambia nitarudiiiii....huyooo akaishia...!!!😂😂😂😂
 
Kuna wakati huwa huruma inanijia nikifikiri mjomba wetu Makomeo alivyoachiwa jumba bovu ahahngaike nalo maana mimi mama yangu na mtu wa kanda ya zee war.

Yaani watu WASHARIBUUUUU CCM vibaya... sasa Makomeo kaambiwa beba mzigo huo mzitoooo na umepasuka, matundu tundu kila sehemu...

Makomeo anahangaika mwenyewe halali, hadi anachanganyikiwa anaimba Slogan za UKAWA...

Usicheze na KIFO kikifika...weee...😂😂😂😂
 
Bado sijaamini kama ule ujumbe ulilokuwa kwenye bango lililoonyeshwa kule Chato nyumbani kwa Magufuli kuwa watumie MAVI YAO KUPAKA KAMA LAMI lilitamkwa kweli na Magufuli?. Sijaamini kabisa. Kama ni kweli MAGUFULI HAFAI KABISA KUWA RAIS WA AWAMU YA TANO. Lile ni tusi kubwa.
 
Mkuuu huamini nini

unafikir kwann ccm ilipata 20% serikali za mitaaa?

Na aliwaambia tumien mikojo yenu..............
 
hapa kazi tu
bado sijaamini kama ule ujumbe ulilokuwa kwenye bango lililoonyeshwa kule chato nyumbani kwa magufuli kuwa watumie mavi yao kupaka kama lami lilitamkwa kweli na magufuli?. Sijaamini kabisa. Kama ni kweli magufuli hafai kabisa kuwa rais wa awamu ya tano. lile ni tusi kubwa.
 
Duh huyu ndo rais wa ccm ..ndo kazi zenyewe mara tupige mbizi khaaàa kwenda kigamboni..
 
Bado sijaamini kama ule ujumbe ulilokuwa kwenye bango lililoonyeshwa kule Chato nyumbani kwa Magufuli kuwa watumie MAVI YAO KUPAKA KAMA LAMI lilitamkwa kweli na Magufuli?. Sijaamini kabisa. Kama ni kweli MAGUFULI HAFAI KABISA KUWA RAIS WA AWAMU YA TANO. Lile ni tusi kubwa.
Magufuli anajeuri sana,wee muone hivyo. Kwanza ile Barabara ya rami ilipitishwa Kijijini kwake Lubambangwe kwa nguvu na jeuri kubwa. Haikuwa plan ya mwanzo. Ndipo wakazi wa vijiji vilivyostahili barabara kupita wakalalamika na kujibiwa hivyo.
Kama hiyo hukumbuki,rejea hata ya Kigamboni. Hivi wewe unawambia waajiri wako wanaokulipa mshahara eti pigeni mbizi?
 
dah! mnaposema bakisheni akiba ya maneno, sasa mnahukumiwaa na midomo yenuu
 
Attachments

  • 1442504685954.jpg
    1442504685954.jpg
    78.4 KB · Views: 314
  • 1442504900935.jpg
    1442504900935.jpg
    62.2 KB · Views: 309
Bado sijaamini kama ule ujumbe ulilokuwa kwenye bango lililoonyeshwa kule Chato nyumbani kwa Magufuli kuwa watumie MAVI YAO KUPAKA KAMA LAMI lilitamkwa kweli na Magufuli?. Sijaamini kabisa. Kama ni kweli MAGUFULI HAFAI KABISA KUWA RAIS WA AWAMU YA TANO. Lile ni tusi kubwa.
Pandisha hiyo picha ili ku support hoja yako wengi wanadhani ni uongo.
 
Nnko chato,
watanzania wenzangu nawaahidi kuwa ccm haina chake huku kuanzia udiwan, ubunge hadi urais.
Tuungane kuzuia goli la mkono.
Mola mjaalie Mh LOwassa afya njema na baraka tele kwa ajili ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom