Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa


kama nakuona hapo juu umewahi seat tayar sasa ufunge mkanda kabisa
 

Attachments

  • 1442485019192.jpg
    40.5 KB · Views: 245
Hakukaliki Lumumba Leo. Mwanzo walidhani ni moto wa mabua ila sasa hivi moto wa mabua umeibua mtafaruku nyumba ya jirani. Kwa mujibu wa nzi wangu wanaonipa taarifa ndani ya ofisi ndogo za CCM hapa Dar habari zinadai kuwa umetokea mshtuko ndani ya viongozi kufuatia mahudhurio ya ajabu aliyoyapata Lowasa Jana pale Chato. Mategemeo ya viongozi wa CCM walitarajia Lowasa kupata aibu kubwa pale Chato. Ila hali imekuwa tofauti na matarajio. Hali hiyo imepelekea kuitishwa kwa vikao vya siri kujadili cha kufanya. Wakuu mambo kwa ujumla si shwari Lumumba na hawajui azimio lipi walifuate kuzuia moto wa Lowasa.
 
Smwatafanya nini zaidi ya kuiba kura na kuanza kuitongoza NEC??
Hakuna njia nyingine tena
 
Washazoea kufanya hujuma na kufanikiwa ila wakati huu hali ngumu
 

Naombea siku moja wakiwa kwenye hilo jengo la shetani liwaporomokee.
 



Utabiri wangu mwisho Wa siku watazipiga wenyewe kwa wenyewe
 


Mi nawashauri na wao wakafanye mkutano Monduli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…