innocent_kamba
Member
- Aug 23, 2015
- 7
- 1
Picha hazipigi kura, jifunze
Wewe Ocampo acha kupotosha watu, hivi kwa nini wewe hufikrii? unafikiri wa-tz wote wako ka wewe? endelea kujidanganya!
umeona eeh! bora tuikabidhi jeshi maana na nidhamu itakuja.
Wewe Ocampo acha kupotosha watu, hivi kwa nini wewe hufikrii? unafikiri wa-tz wote wako ka wewe? endelea kujidanganya!
Picha hazipigi kura, jifunze
Picha hazipigi kura, jifunze
Picha ni za nani? Nyani?
Picha hazipigi kura, jifunze
Watu wanamaudhi sana hv kwann msisusie kwenda kwny mikutano mijitu hiyohiyo utaiona miiingii kwenye mkutano wa pombe
Ila waliopoigwa na waliopiga hizo picha ndo wanaopiga kura
Mmeshaona dalili si nzuri maana mmeshikwa kisawasawa. Edoooo wakimbizee hadi watoe ulimi njeee..