Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

nauliza swali ccm walisema hari mpya na kasi mpya baadae wakajana kilimo kwanza mwaka huu wamekuja nanini? plz
 
Wewe Ocampo acha kupotosha watu, hivi kwa nini wewe hufikrii? unafikiri wa-tz wote wako ka wewe? endelea kujidanganya!

Hahahahaha Mkuu naona uamini vile.... Hapo ndio nyumbani kwa mgombea wa CCM.....

Kazi kwisha, ndembendembe, chaliiiiii kifo cha mende....

Hapo Geita mjini bado
 
Wewe Ocampo acha kupotosha watu, hivi kwa nini wewe hufikrii? unafikiri wa-tz wote wako ka wewe? endelea kujidanganya!

Jenga hoja yako tafadhali! Ulikusudia kusema nini baada ya kuporomosha utangulizi wa majungu?
 
KKKPWAAAA!!!! HA!HA! stroke!!! ETI NINI..... MBONA NINYI MKIWA NA WASANII WENU
TENA WA TZ NZIMA HUWA TUNAWAONA MPO KAWAIDA NA HATUPANIC KAMA NYIE WA
RANGI ZA MBOGAMBOGA???
KUMBUKA,WANANCHI HAWA HAWA MIONGONI MWAO NDIO WATAKAOKWENDA KUFANYA
MAAMUZI MAGUMU KWENYE BALLOT BOX ,MARK MY WORDS! VIVA ROMA,VIVA UKAWA + VIVA HON.LOWASSAAAAAAA:A S 41::whoo::whoo::yield::yield::yield::flypig::flypig::flypig:! MABADILIKOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Haaaaaaaaaaaaaaa
Lewelelooooooooo
 

Attachments

  • 1442411035676.jpg
    1442411035676.jpg
    22.5 KB · Views: 906
Kwenye press conference ya leo nadhani ulisikiliza vizuri maneno ya January Makamba....projection za ushindi wa Magufuli alizofanya ali-base sana kwenye mahudhurio makubwa ya mikutano ya Magufuli

Why the spade cannot fetch same things in UKAWA!!! Acha unafiki Bro! Hizo ndio tunaziita propaganda missions!
Picha hazipigi kura, jifunze
 
Mmeshaona dalili si nzuri maana mmeshikwa kisawasawa. Edoooo wakimbizee hadi watoe ulimi njeee..

Edo ni habari nyingine yule.jamaa alijipanga sio mchezo.Kampeni zake.ni hatari ni mzee wa mipango balaaa.Amini usiamini CCM inakufa aiseee
 
Back
Top Bottom