Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Ukitaka kujuwa Magufuli ni mzigo kwa Ccm ni mkutano Lowassa aliofanya Chato leo.
Watu hawamtaki magufuli kila mtu lowassa na mabadiliko.
Ina maana kama Lowassa amepata ushindi mkubwa namna hii nyumbani kwa Pombe nani tena wakumzuia asiingie ikulu.
Vipi na ule wa Geita umeufuatilia?
 
Hapa hakuna cha wasanii wala malori kusomba watu.....
 

Attachments

  • 1442420990424.jpg
    1442420990424.jpg
    80 KB · Views: 22,379
  • 1442421004537.jpg
    1442421004537.jpg
    82.5 KB · Views: 9,053
  • 1442421023776.jpg
    1442421023776.jpg
    84.2 KB · Views: 9,227
  • 1442421054736.jpg
    1442421054736.jpg
    78.3 KB · Views: 10,057
  • 1442421069976.jpg
    1442421069976.jpg
    50.5 KB · Views: 19,284
  • 1442421084316.jpg
    1442421084316.jpg
    68.1 KB · Views: 3,093
  • 1442421102436.jpg
    1442421102436.jpg
    71.7 KB · Views: 8,975
  • 1442421139407.jpg
    1442421139407.jpg
    85.3 KB · Views: 9,361
Hakuna wa kumzuia Lowassa kuingia Ikulu maana ndiye Rais ajaye
 

Kawaida Wachawi Hujuana. Bora Yeye Mchawi Na Sasa Anagombea Urais Na Ndiyo Atakuwa Rais Wako UTAKE USITAKE. Sijui Wewe Na Huo Uchawi Wako Usio Na Tija Mpaka Leo Umekusaidia Nini. Utabaki Na Huo Huo UMASIKINI Wako ULIOTUKUKA Huku Ukiwa Huna Mbele Wala Nyuma.

Kama unajiamini sana, njoo PM tufahamiane we kokoro.. Naweza kukulisha wewe na wazazi wako for the rest of your life.. Wakati unasoma Primary hapo Obey mlikuwa mnakuja pale shuleni kwetu kushangaa basketball courts na swimming pools. I'm not on your league wewe kichaa, so stay there and get a life..
 
Ngoja waje magambaz usikie wakisema picha za kuungaunga na computer.
 
Nimezipata ila nashindwa kuattach video ..ila ni mafurikoooo
 
Back
Top Bottom