Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Walienda kulishangaa lifisadi, nani asiyetaka kuliona?
 
Hapa wote tuna akili, hivi kweli mnamsikia Lowasa akiongea? Kweli kila mtu anaweza patwa na chochote na hujafa umeumbika, kweli Lowasa anaweza kuongea jamani, mimi namkubali sana lakin naona kama jamani hebu tuwe fair kwa nchi yetu labda kama ni wasaidizi tu wataendesha nchi. Hakuna mtu anamweza kufurahia kuona mwenzake anaumwa lakin honestly anahitaji mapumziko. Nimesikiliza akiongea Geita there is nothing unaweza kusikia. Namuombea Mungu ampe afya njema InshaAllah.
 
Mkuu hiyo ndiyo inaitwa wera wera wera😆😆😆😆😆😆

Namshauri magufuli kabla hajaenda monduli amuulize samia mgawa takrima jinsi alivyoaibika......asijekufa bure
 
Ukitaka kujuwa Magufuli ni mzigo kwa Ccm ni mkutano Lowassa aliofanya Chato leo.
Watu hawamtaki magufuli kila mtu lowassa na mabadiliko.
Ina maana kama Lowassa amepata ushindi mkubwa namna hii nyumbani kwa Pombe nani tena wakumzuia asiingie ikulu.

Mwogope Mungu wewe eti watu hawamtaki magufuli, eti kila mtu lowassa, jipeni matumaini, hakika nakwambia lowassa atagalagazwa na magufuli mchana kweupe, el anawafaa sana nyie wanywa viroba msioweza kufikiri, tena anafaa huko huko kwenu pambafu
 
Nasubiria tu siku POMBE itakapopitishwa kwenye VILABU vya kule MONDULI sijui nayo itapata WATEJA kama hao waliopatikana huko CHATO!!!!
 
Hata hivyo chato walikuwa wameishamchoka na mwaka huu sojui kama angepenya kwenye kura za maoni, tatizo
Ni mbabe, kauli mbaya, kupindisha SHERIA nk
 
Ukitaka kujuwa Magufuli ni mzigo kwa Ccm ni mkutano Lowassa aliofanya Chato leo.
Watu hawamtaki magufuli kila mtu lowassa na mabadiliko.
Ina maana kama Lowassa amepata ushindi mkubwa namna hii nyumbani kwa Pombe nani tena wakumzuia asiingie ikulu.

hata nyerere huko musoma walikuwa hawamtaka lakini ndio kiongozi bora huyo
 
Attachments

  • 1442424311971.jpg
    1442424311971.jpg
    30.7 KB · Views: 336
Ewe Mwenyezi Mungu sikiliza kilio cha chetu watanzania.....Tunamuhitaji E.Lowasa kuliko mtu yeyote kwa sasa kwenye nchi yetu.....
 
Back
Top Bottom