Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Inauma... Huyu ni Mwananchi wa Chato
 

Attachments

  • 1442429581424.jpg
    1442429581424.jpg
    35.6 KB · Views: 5,445
  • 1442429602687.jpg
    1442429602687.jpg
    34.6 KB · Views: 1,790
Hivi kuna kataahira kamoja Kalisema huu ni moto wa mabua? Katakuwa kanaumia sana kakiona hivi!
 
✌✌✌✌✌✌✌👏👏👏👏👏👏
 
Ukitaka kujuwa Magufuli ni mzigo kwa Ccm ni mkutano Lowassa aliofanya Chato leo.
Watu hawamtaki magufuli kila mtu lowassa na mabadiliko.
Ina maana kama Lowassa amepata ushindi mkubwa namna hii nyumbani kwa Pombe nani tena wakumzuia asiingie ikulu.

Kufuli tutavunja, pombe tutamwaga,ikulu tunaingia .piiipoooziiii........???
 
Hivi jamani hawa viongozi kwanini wanawasahau wananchi kiasi hiki
 
Hivi jamani hawa viongozi kwanini wanawasahau wananchi kiasi hiki

Alicho kumbuka ni Kuweka traffic light pale kwenye barabara ya kwenda kwenye bar yake, na magari yanayopita hayazidi kumi kwa SAA.
 
Magufuli alisema tumuhukumu kwa maendeleo aliyoyapeleka Chato, il tuone kama hafai kumpa nchi
Sasa huu mrejesho mfupi wa tuliyoyaona huko, kwa kweli Magufuli amejitahidi sana kuweka taa za barabarani japo hakuna magari yanayohitaji kuongozwa na mataa hayo.

Mitaa mingi ya mjini imeweka lami, na barabara kuu ya kwenda Bukoba kupitia Chato ina lami (japo ni ya kiwango cha chini sana). Amejitahidi kujenga Hotel yake ya kifahari na Apartment za kutosha (JS MOTEL), tena ilifunguliwa na Mkapa pamoja na Raila Odinga japo yeye amesikika akisema hapendi matajiri (ni mfanya biashara)

Sasa tukirudi kwenye hali halisi ya maisha kwa mwananchi wa kawaida, utashangaa. Maisha ni duni mno, kuna ziwa lakini hakuna hata kiwanda cha kusindika samaki japo yeye amesikika ukishangaa ni kwa nini ukanda wote wa bahari ya hindi hakuna kiwanda cha samaki. Kuna ziwa lakini maji safi ni ya shida sana japo yeye amesikika aki ahidi maji safi na salama kwa vijiji vyote Tanzania kama akipata ridhaa. Watu wanachota maji ziwani kwenda kupikia.

Magufuli amekuwa Mbunge kwa miaka ishirini lakini ameshindwa kuwapatia watu wake maji safi tena yaliyopo umbali wa mita mia tu. Ameshindwa kuwapatia watu wake kiwanda ili vijana wapate ajira japo malighali zipo.Sasa anapata wapi uhalali wa kutuambia kuwa atatuletea Ajira, atatuletea Maji Safi na Salama, na atatujengea viwanda????

HUYU AMESHINDWA kabla hajaanza
 
Back
Top Bottom