Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,274
- 12,244
HahahahahahahahahhahahahahahahahahWewe usiyejua ndio sasa mjue na familia yako!
Ccm mkubwa wewe!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahahahahahhahahahahahahahahWewe usiyejua ndio sasa mjue na familia yako!
Ccm mkubwa wewe!!
Kwanza tunaanza na kikapu saa 11 asubuhiWa usiku huu naaaaah
Jumatano leo ndio itakuwa bombaaa.. kunoga
Mechi ya Simba iliishaje mkuuKwanza tunaanza na kikapu saa 11 asubuhi
Nilikua nayajua matokeo kabla...ilishaenyezwa rupia mda mrefu sanaMechi ya Simba iliishaje mkuu
Hahahahahahahahah kwa Refa au JktNilikua nayajua matokeo kabla...ilishaenyezwa rupia mda mrefu sana
Hawezi kumfunga BarcaHawa Ajax wanabeba hili dude
Kumbe na wewe shabikiSaa 4 kamili inaanza
Tunasubiri second leg. Jana iliisha,Wewe unangalia?
Umenikata stim za hotuba ya rais!Tunasubiri second leg. Jana iliisha,
Nadhani ushapata matokeo
Amesema kuwa bado hajaondoka madarakani, kwa hiyo atatimiza ahadi yakeUmenikata stim za hotuba ya rais!
Hebu nikumbushe ameongeza mshahara au hajaongeza?
Kisa kifaranga cha kuku kusubiri kunyonya maziwa ya mamaye!!Amesema kuwa bado hajaondoka madarakani, kwa hiyo atatimiza ahadi yake