Yaliyojiri Ikulu Dar: Rais Magufuli amtaka CAG Kichere kutojifanya Muhimili mwingine, amwambia anaweza kuondolewa hata akiwa na mwaka mmoja

Rais Magufuli ampa maagizo haya CAG mpya.

''Ukipewa maagizo kutoka kwenye mihimili fanya''

''Wewe ni mtumishi kama wengine''

''Pale ofisi za CAG ni pachafu sana, kapasafishe''

''Una elimu nzuri una Division one O Level na A Level, wewe sio kilaza ni kipanga''

''Una nidhamu sana nilivyokushusha ulikubali kwa moyo mweupe''

''Nakuonya, unaweza ukakaa hata mwaka mmoja na sio lazima ukae hadi 60 yrs''

''Nina mamlaka ya kuteua na kutengua, mimi ndiyo Rais''

''Assad leo saa sita usiku anamaliza muda wake, kesho nenda ofisini''

''Kaisafishe ile ofisi, Wizara ya Fedha itakupa taarifa zingine''


State agent
 
Magufuli kamuapisha jaji mmoja, ambaye ni mchagga na alikuwa fair competition,

Anasema jamaa alivyo muadilifu hadi alipokuwa Fair competition watu walikuwa wanajiuliza "Huyu ni Mchagga gani asiependa Rushwa"
Mkuu Wako Wachaga Wachamungu ingawa ni wachache wa kumulika kwa tochi lakini wapo.
 
Habari wana JF..

Mh. Rais Magufuli, leo wakati akitoa hotuba na ushauri kwa wateuliwa wapya wa ngazi mbalimbali, ametoa ushauri mzuri sana kwa CAG mpya Ndugu Kichere, "Usijifanye muhimili, mihimili iko mitatu tu na unaijua, wewe ni mtumishi wa umma, kasimamie haki na una sifa za kutosha, nakutakia kazi njema"

Message nzuri sana hii, watumishi wa umma wasijione exceptional au untouchable hata uwe katika nafasi ya juu kiasi gani.. Nimependa hii reminder kwa watumishi wa umma. Excellent message from my President JPM. 🙏👏👏
 
Anamtisha CAG ili iweje? Baada ya kuliweka bunge mfuko na mahakama ninitegemea hii ofisi ataiweka mfukoni. Vta ya ufisadi ndio imeyeyuka tutegemee upigaji wa kutisha miaka 5 ya mwisho ya utawala wake.
 
CAG kaagizwa na Amiri jeshi atii maelekezo ya mihimili mingine

Kakumbushwa anaweza kutolewa hata baada ya mwaka mmoja
Kwa hiyo Muhimili ukiwa na Magumashi yake, ukitoa maelekezo Kwa CAG naye atatii, naomba nieleweshe tafadhali
 
Paara..
 
Miuu Wako wachaga wacha Mungu ingawa ni wachache wa kumulika kwa tochi lakini wapo.
Kwa nini ni wakumulikwa na tochi? Ni katika stage gani huwa wanajifunza upigaji?
 
Hapo kwenye kutengua,mbona Assad alishindwa kumtengua?
 
Team ujenzi wanazidi kuishika nchi, mbona tutalishwa cement karibuni!!
 
CAG mpya amepigwa mkwara mzito live!
 
Pale ofisi za CAG ni pachafu sana ,kapasafishe
Hii ndiyo ilikuwa sababu tosha ya kumuondoa.Uchafu wa Assad ungekusanywa,akaundiwa tume kwa mujibu wa katiba na akatoka kwa aibu kuu.
 
Mkuu

Kwenye maendeleo pia mmesema tusubiri..

Naona kanda ya ziwa mnatumia nguvu sana kutuattack

Lkn hamtaweza....

Kaskazini mikono juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…