imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Ant vacancies?Na sisi ant vacancies tuheshimiw
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ant vacancies?Na sisi ant vacancies tuheshimiw
Virus wa kufanya depopulation anatengenezwa tu ,anawapangusa weee, wataleta vaccine wakilizika na namba iliyobakia.That’s the goal of all major governments. Population reduction that’s why they created COVID in a lab and made an outbreak. People collecting government assistance aren’t any benefit to the government. And that’s why our foods and drinks have chemicals in them and our medicines vaccines pills and so on cause autism, fertility issues and cancer, and our water has fluoride and chlorine. This is no joke. It’s been a plan and in the works for a long time. Feel bad for those dumb enough to think this is a conspiracy when it’s actually true.
Ndio huyu sasa.Virus wa kufanya depopulation anatengenezwa tu ,anawapangusa weee, wataleta vaccine wakilizika na namba iliyobakia.
Mzungu akumalize kwa chanjo ukubwani, ashindwe kukumaliza na chanjo za utotoni ambazo mnachoma bila kuhoji????
Ugonjwa gani wa kirusi una tiba??? Mafua yenyewe tu hayana tiba, ni viral infection na sio bacterial infection zaidi tunategemea kinga ya mwili kukishinda kirusiKwanini wataalaamu wamekimbilia kwenye chambo badala ya kutafuta tiba ya ugonjwa?
Hakuna ugonjwa usiyo na tiba.Ugonjwa gani wa kirusi una tiba??? Mafua yenyewe tu hayana tiba, ni viral infection na sio bacterial infection zaidi tunategemea kinga ya mwili kukishinda kirusi
Sasa watu wanaogopa chanjo kisa mzungu atawauwa, hawajui hata kirusi wa kuwauwa nae anatengenezwa?????Ndio huyu sasa.
Niwekee viral desease zenye tiba?Hakuna ugonjwa usiyo na tiba.
Burnin' and LootinThat’s the goal of all major governments. Population reduction that’s why they created COVID in a lab and made an outbreak. People collecting government assistance aren’t any benefit to the government. And that’s why our foods and drinks have chemicals in them and our medicines vaccines pills and so on cause autism, fertility issues and cancer, and our water has fluoride and chlorine. This is no joke. It’s been a plan and in the works for a long time. Feel bad for those dumb enough to think this is a conspiracy when it’s actually true.
Sawa ila kuweka iyo tag apo " nmechanja nitashiriki maana yake nn?? Kama ingekua ni wote wanaruhusiwa kwann msingeweka usawa kwa kauli zote mbili za kukubali na kukataa!!??Asante kwa Mawazo yako. Ila tu, ni kwamba waongeaji haijalishi wamechanjwa au hawajachanjwa. Kila mtu ana uhuru wa kuongea. Yaani unafunguka mawazo yako. Sio kwamba ili ushiriki lazima uwe umechanja.
Click link hapo juu
Jibu ni:Nasema hili , na huu na mtazamo binafsi.
Kuna watu wengi sana hawajaona umuhimu wa kupata chanjo.
Lakini bado, wataalamu wetu wa afya wameshindwa kuja na ushawishi wa kwanini ni muhimu kupata chanjo, kuna watu hawana elimu za Afya na wanabaki na swali ambalo hadi sasa halijajibiwa kwa usahihi kuwa Kwanini watu waliochanjwa wanaweza kupata maambukiz sawa na watu ambao hawajapata chanjo, kwanini waliochanjwa wanapaswa kuvaa barakoa na kuchukua tahadhari sawa na watu ambao bado hawajachanjwa?
Dunia ingeendeshwa kama unavyofikiri mimi na wewe tusingekuwepo.Hiyo mijadala mnapoteza muda tu, kwa dunia ya leo kunamtz ambaye hajui kuwa chanjo ya uvico tayari ipo nchini na kuchanjwa ni hiari?
1. Sichanji, kwasababu siyo lazima. Cd4 buku jero zinanitosha.
2. Covid nilishaugua, ni ugonjwa unaotibika wenyewe tu, yaan kama mafua tu. (USINIIGE)
3. Virusi vya covid naona kila siku wanaibuka generation mpya, nasubiri pia nipate hao akina delta, MU n.k ili nijipime kama naweza kuwashinda (Nitaweza tu if God wishez)
Nb, Personally sipendi kabisa kutumia dawa ovyoovyo hasa hizo za viwandani, ni baada ya wizara husika kuruhusu dawa za Quinine miaka hiyo kwaajili ya kutibu malaria na zikanipelekea uziwi permanently hadi leo. Never and never trust anybody.
OVER.
Siyo kwa bahati mbayaKwa watu wanaotoka/aliokatika familia duni kugharamia matibabu ya Corona ni ishu kuna waginjwa wanapewa bills za mil 5 hadi kumi ni hatari sana usipochanjwa