#COVID19 Yaliyojiri JamiiForums Clubhouse kwenye Mjadala wa UVIKO-19, Umechanja au haujachanja? Nini mtazamo wako?

#COVID19 Yaliyojiri JamiiForums Clubhouse kwenye Mjadala wa UVIKO-19, Umechanja au haujachanja? Nini mtazamo wako?

Na sisi ant vacancies tuheshimiw
Ant vacancies?
mjlol.png
 
Mbona Mh Gwajima aliomba huu mpambano wa hoja juu ya chanjo ya corona kati ya waliochanja na wasiochanja hajajibiwa moaka leo? Wako watu wanaojaribu kuzuia maji ya mto nile kwa viganja vya mikono watakufa maji bila shaka.
 
That’s the goal of all major governments. Population reduction that’s why they created COVID in a lab and made an outbreak. People collecting government assistance aren’t any benefit to the government. And that’s why our foods and drinks have chemicals in them and our medicines vaccines pills and so on cause autism, fertility issues and cancer, and our water has fluoride and chlorine. This is no joke. It’s been a plan and in the works for a long time. Feel bad for those dumb enough to think this is a conspiracy when it’s actually true.
 
Virus wa kufanya depopulation anatengenezwa tu ,anawapangusa weee, wataleta vaccine wakilizika na namba iliyobakia.

Mzungu akumalize kwa chanjo ukubwani, ashindwe kukumaliza na chanjo za utotoni ambazo mnachoma bila kuhoji????
 
Ndio huyu sasa.
 
Kwanini wataalaamu wamekimbilia kwenye chambo badala ya kutafuta tiba ya ugonjwa?
Ugonjwa gani wa kirusi una tiba??? Mafua yenyewe tu hayana tiba, ni viral infection na sio bacterial infection zaidi tunategemea kinga ya mwili kukishinda kirusi
 
Might be time to start investigating or even entertain believing the highly accredited Scientists, Researchers and Doctors who have been censored recently... 😅

Censorship is the modern way to burn books. It's hard to imagine that the medical industry would support disregarding peer reviewed research in favour of mass experimental programs...but here we are.
 
Ugonjwa gani wa kirusi una tiba??? Mafua yenyewe tu hayana tiba, ni viral infection na sio bacterial infection zaidi tunategemea kinga ya mwili kukishinda kirusi
Hakuna ugonjwa usiyo na tiba.
 
Watuambie ile kauli kwenye form inayosema CHANJA AT YOUR OWN RISK.

Je ni sawa na kauli iliyo kwenye boksi la sigara isemayo UVUTAJI WA SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO?

Au ni kujitoa kuwajibika kwa kile kitatokea?
Je Dr gani wa KiTz ambaye for sure anauhakika na matokeo ya baadae, au utafiti gani amefanya kama yeye au sisi hatuna uwezo?.

Sambamba na hilo Wataalam watuambie hivi kuvaa barakoa kuzuia virus hakuathiri mapafu, maana unavuta hewa ambayo uliitoa na ku recycle hewa hiyo hiyo kwa muda mrefu?. Je kuna utafiti wowote?
 
Nauliza ni namna gani itumike kubadili mtizamo wa Wananchi waliojengewa na Mh. Rais Hayati Dr. John P. Magufuri uliowaaminisha watu kuwa chanjo hazifai?

Viongozi waliopo wanajisikiaje wanapo hamasisha chanjo kwa Wananchi ili hali kipindi kilichopita waliipinga chanjo kwa ujasiri wa kutumia dawa za asili, kujifukiza, maombi na kila aina ya mbinu ili ionekane wako sahihi na Mh. Rais Hayati Dr. John P. Magufuri?

Ni kwanini kipindi cha awamu iliyopita wataalamu wetu walipoalikwa walitoa elimu ya chanjo kwa kina, lakini kipindi hiki hakuna kitu kama hicho?

Wataalam wetu wanatuambiaje kuhusu herd immunity iliyotrngezwa kipindi cha awamu iliyopita kwamba labda ndio imejenga kinga zaidi kuliko chanjo au?

Mtizamo wangu.
Chanjo ni nzuri ikitengenezewa utaratibu wa uhamaishaji /kikosi kazi kipya.

Chanjo itaonekana sio nzuri iwapo tu nguvu iliyotumika kupinga ikaendelea kung'ang'ania bila kutoa/kujibu yale waliyokuwa wakipinga kipindi kile kiasi kuleta simtofahamu na kukwamisha zoezi ama kwa kujua/kutokujua.
 
That’s the goal of all major governments. Population reduction that’s why they created COVID in a lab and made an outbreak. People collecting government assistance aren’t any benefit to the government. And that’s why our foods and drinks have chemicals in them and our medicines vaccines pills and so on cause autism, fertility issues and cancer, and our water has fluoride and chlorine. This is no joke. It’s been a plan and in the works for a long time. Feel bad for those dumb enough to think this is a conspiracy when it’s actually true.
Burnin' and Lootin
Give the food & let me go....
 
Asante kwa Mawazo yako. Ila tu, ni kwamba waongeaji haijalishi wamechanjwa au hawajachanjwa. Kila mtu ana uhuru wa kuongea. Yaani unafunguka mawazo yako. Sio kwamba ili ushiriki lazima uwe umechanja.

Click link hapo juu
Sawa ila kuweka iyo tag apo " nmechanja nitashiriki maana yake nn?? Kama ingekua ni wote wanaruhusiwa kwann msingeweka usawa kwa kauli zote mbili za kukubali na kukataa!!??
 
Nasema hili , na huu na mtazamo binafsi.

Kuna watu wengi sana hawajaona umuhimu wa kupata chanjo.

Lakini bado, wataalamu wetu wa afya wameshindwa kuja na ushawishi wa kwanini ni muhimu kupata chanjo, kuna watu hawana elimu za Afya na wanabaki na swali ambalo hadi sasa halijajibiwa kwa usahihi kuwa Kwanini watu waliochanjwa wanaweza kupata maambukiz sawa na watu ambao hawajapata chanjo, kwanini waliochanjwa wanapaswa kuvaa barakoa na kuchukua tahadhari sawa na watu ambao bado hawajachanjwa?
Jibu ni:
1: Chanjo haikuzuii kupata ugonjwa husika, bali inazuia usipate madhira makali ya ugonjwa husika.

2: Pia, wewe uliyechanjwa ukipata ugonjwa bado una nafasi ya kusambaza kwa wale ambao hawajachanjwa na wako pia wale walioko kwenye kundi hatarishi.

3: Kuna watu wamechanja na bado miili yao kulingana na hali walizonazo uwezo wa kuhimili mikiki mikiki ya magonjwa si mzuri hivyo kinga ni mhimu pia.

4: Kitaalamu, ili chanjo iwe na manufaa kwa jamii husika na kuzuia athari tajwa basi ni muhimu ndani ya jamii husika walau asilimia 85 ya jamii husika wawe wamechanjwa. Ndiyo maana unaona watu wanahimizwa kupeleka watoto chini ya miaka 5 kuchanjwa. Ili angalau tuifikie hiyo asilimia ya watoto wawe wamechanjwa au zaidi. Hapo, hata wale ambao hawajachanjwa huwa wana nafasi ya kulindwa indirectly kwa kukutana na wengi waliochanjwa.

Huu ndo msingi wa kuhimizwa kuchanjwa. La sivyo, faida itabaki kwa mmoja mmoja aliyechanja na si jamii husika.

NB: Wengi wetu tumechanjwa dhidi ya Kifua kikuu(TB), lakini bado si sababu ya kusema naenda kwenye wodi ya kifua kikuu au kuishi na mgonjwa wa kifua kikuu bila tahadhali.

Lakini pia tufahamu bado watu wanakufa kwa kidua kikuu, haimaanishi chanjo husika haifanyi kazi bali ni kuumwa katika mazingira tofauti.

Hivyo, chanjo si ticket ya kutokufa bali inapunguza vifo vingi kwa muda mfupi kwa kuandaa miili yetu kupambana.
 
Hiyo mijadala mnapoteza muda tu, kwa dunia ya leo kunamtz ambaye hajui kuwa chanjo ya uvico tayari ipo nchini na kuchanjwa ni hiari?

1. Sichanji, kwasababu siyo lazima. Cd4 buku jero zinanitosha.
2. Covid nilishaugua, ni ugonjwa unaotibika wenyewe tu, yaan kama mafua tu. (USINIIGE)
3. Virusi vya covid naona kila siku wanaibuka generation mpya, nasubiri pia nipate hao akina delta, MU n.k ili nijipime kama naweza kuwashinda (Nitaweza tu if God wishez)

Nb, Personally sipendi kabisa kutumia dawa ovyoovyo hasa hizo za viwandani, ni baada ya wizara husika kuruhusu dawa za Quinine miaka hiyo kwaajili ya kutibu malaria na zikanipelekea uziwi permanently hadi leo. Never and never trust anybody.

OVER.
Dunia ingeendeshwa kama unavyofikiri mimi na wewe tusingekuwepo.

Waache waliojaliwa maarifa zaidi wasikilizwe kwa kuchangia walichonacho na si kupoteza muda.

Ungejua kuna watu wamekufa kwa ugonjwa huu kutokana na kuwa na mifumo yao yenye nguvu ku-overeact na kuumiza miili yao (cytokines storm) wala usingejitapa.

Mshukuru Mwenyezi Mungu tu kuwa alikupitisha vyema.
 
Kwa watu wanaotoka/aliokatika familia duni kugharamia matibabu ya Corona ni ishu kuna waginjwa wanapewa bills za mil 5 hadi kumi ni hatari sana usipochanjwa
Siyo kwa bahati mbaya
====
Vipi hoja ya wataalamu wetu wakishirikiana na serikali kutengeneza chanjo yetu limegusiwa kwanye mjadala!?
 
Back
Top Bottom