Wamesema kusini Lindi, Mtwara, Ruvuma fiesta haliendi si ubaguzi huu, CCM imekatiliwa kusini haiuziki. Awachelewi kusingizia magaidi wa Mtwara maana kwa sababu awajambo hawaList ya wasanii niaje? Mbona hujaitaja mkuu?
.....Mwakani sijui Clouds Media wata andaa Fiesta make wananchi wamekata kiu yao sana mwaka huu kuhusu shows za wasanii tena wale maarufu na vipenzi vya watu...