Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

ccm kushinda ni lazima kwa utawala huu. wapinzani wao wakiona wamewazidi nguvu huwatupa magerezani kwanza ili kuwapunguza nguvu....
 
ni vyema mwenye matokeo akayaweka hapa, kule kwenye uzi wa chaguzi ndogo imeshindikana
 
Hayo huwa mnayajua baada ya Matokeo kutoka
Huwa yanajulikana mapema. Lakini chama cha siasa kushiriki Uchaguzi ni sehemu ya uenezi pia.
Uchaguzi unajulikana kuwa ni Chadema VS Dola (Polisi,DED, usalama nk) maana mshindani CCM ni kama vile hayupo au ana nguvu kama TLP tuu
 
Huwa yanajulikana mapema. Lakini chama cha siasa kushiriki Uchaguzi ni sehemu ya uenezi pia.
Uchaguzi unajulikana kuwa ni Chadema VS Dola (Polisi,DED, usalama nk) maana mshindani CCM ni kama vile hayupo au ana nguvu kama TLP tuu


*Chademma mmeshinda kata Saba*

Kata ya Ukuta
Kata ya Udikteta
Kata ya Ben saa8
Kata ya Njaa
Kata ya Kata funua
Kata ya Tetemeko la kagera
Kata ya demokrasia
 
Hahahaahahahaha bado vijana wa ufipa empire na chief wao wanatamani ifike 2020 mm ningewashauri laiti mngejua kuandaliwa movie ya kupanda na kushuka kwa ufipa empire pale mtakapo baki na wabunge 3 akiwemo chief wa ufipa yeye ataachwa ili alipe madeni
 
Mkuu tatizo ni kuwa bado kuna watu wanajiita wapinzani kumbe ni mahawara wa Ccm kama Lipumba,Dovutwa nk.
Vyama makini mfano utokee Uchaguzi mdogo tena hata vikisusia hao watasimama na kwa vile wapo kisheria basi mbele ya jumuia ya kimataifa utaitwa Uchaguzi wa vyama vingi.
Tujiulize, tuwafanye nini wasaliti hao?
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…