Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

ccm kushinda ni lazima kwa utawala huu. wapinzani wao wakiona wamewazidi nguvu huwatupa magerezani kwanza ili kuwapunguza nguvu....
 
ni vyema mwenye matokeo akayaweka hapa, kule kwenye uzi wa chaguzi ndogo imeshindikana
 
Hayo huwa mnayajua baada ya Matokeo kutoka
Huwa yanajulikana mapema. Lakini chama cha siasa kushiriki Uchaguzi ni sehemu ya uenezi pia.
Uchaguzi unajulikana kuwa ni Chadema VS Dola (Polisi,DED, usalama nk) maana mshindani CCM ni kama vile hayupo au ana nguvu kama TLP tuu
 
Huwa yanajulikana mapema. Lakini chama cha siasa kushiriki Uchaguzi ni sehemu ya uenezi pia.
Uchaguzi unajulikana kuwa ni Chadema VS Dola (Polisi,DED, usalama nk) maana mshindani CCM ni kama vile hayupo au ana nguvu kama TLP tuu


*Chademma mmeshinda kata Saba*

Kata ya Ukuta
Kata ya Udikteta
Kata ya Ben saa8
Kata ya Njaa
Kata ya Kata funua
Kata ya Tetemeko la kagera
Kata ya demokrasia
 
Hahahaahahahaha bado vijana wa ufipa empire na chief wao wanatamani ifike 2020 mm ningewashauri laiti mngejua kuandaliwa movie ya kupanda na kushuka kwa ufipa empire pale mtakapo baki na wabunge 3 akiwemo chief wa ufipa yeye ataachwa ili alipe madeni
 
Mie nakuunga mkono Mkuu katika hoja yako. Haiwezekani kuendelea kushirikia katika chaguzi ambazo unajua fika zimegubikwa na wizi wa hali ya juu miaka nenda miaka rudi huku ukitegemea kushinda. Bila katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi hakuna umuhimu wowote ule wa kushiriki uchaguzi. MACCM hayataki nchi hii iwe na mfumo wa vyama vingi na ndiyo sababu wanafanya kila hila ikiwemo kuwanyanyasa viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani, kuzuia uhuru wao wa kufanya shughuli zao za kisiasa, kuwafunga jela kwa makosa uchwara n.k. viongozi na Wabunge wa UKAWA. Nitawashangaa sana viongozi wa UKAWA kama katika mazingira kama haya wakiamua kushiriki katika uchaguzi wa 2020.
Mkuu tatizo ni kuwa bado kuna watu wanajiita wapinzani kumbe ni mahawara wa Ccm kama Lipumba,Dovutwa nk.
Vyama makini mfano utokee Uchaguzi mdogo tena hata vikisusia hao watasimama na kwa vile wapo kisheria basi mbele ya jumuia ya kimataifa utaitwa Uchaguzi wa vyama vingi.
Tujiulize, tuwafanye nini wasaliti hao?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom