Kwa nini limeshindwa kuwaumbua kwa hizi Chaguzi ndogo?Maccm watajitahidi kujionesha wao ndio wa jjuu katika marudio ya chaguzi hizi zinazoendelea leo kote Nchini.
Lakini ukweli utabakia tangu uchaguzi wa Octoba 2015 CCM IMEKUFA imebaki na WIZI WA KURA TU.
2020 SIO MBALI KWA JINSI MAGUFULI ANAVYOTOKA KWA MANENO NA MATENDO YAKE SADUKU LA KURA LITAWAUMBUA VIBAYA MNO.
hata kama hapendwi lazima wachakachue kwa nguvu zote ili waonekane wanapendwa sanaWakuu leo ndiyo Ile siku ya kujua kama rais Magufuli ama anapendwa ama Tayari raia washamchoka. Tupia hapa kinachojiri katika zoezi la upigaji kura na matokeo, na vipi mwitikio wa wananchi
Acha maneno weka muziki.Kwikwikwikwi kama mnaona hakuna vyama vingi si muache kushiriki. Kwikwikwikwi CCM oyee, chama dume.Sijawahi kuona watu kwa jina tuu lakini kwa utu sio watu Kama CCM.
Looo wana tabia ambazo hata mnyama hana, wana tabia ambazo hata shetani hana. Wana tabia ambazo hata ibilisi hana. Wana tabia amabzo hata mafirauni hawakuwa nazo. tabia za wana CCM ni za ajabu sana, Na sijawahi kuzisikia popote ulimwenguni zaidi ya wao.
Wapotefu waliopotea wasioijua njia. Viziwi wasiosikia jema lolote, wabubu wasiosema haki inapidhulumiwa.
Ni watu wenye kiburi, jeuri, washindani, wagomvi, mahasidi, mafisadi, wizii, wakhasiri, waporaji, walaghai, mabepari.
Kila ubaya wanao, Hawana Jema lolote, ana Kama utaliona Jema basi litakutumbukia nyongo.
Loo
Kwanini wanalaghai watu na ulimwenguni Kuwa Tanzania kuna mfumoo wa vyama vingi na wakati hakuna.
Tanzania kuna demokrasia wakati hakuna.
Sipendi kuona wala kusikia mtu yoyotee anadhulumiwa haki yake, Huna inaniuma sana bila ya kujalisha dini, rangi, Kabila, chama, jinsia n.k
Sasa hayo tunaita mapovu.Kwahiyo umeweka wazi unagegedwa?subir wateja
Siku watu wakiona kuwa mambo haya ya uhuni kwenye uchaguzi wenzao wanapoteza maisha na kuacha familia zao ndio watajua kuwa kuchezea kura za watu sio jambo zuri. Ukweli ni kuwa ikitokea wawili watatu wanao tumia madaraka yao kupindisha demokrasia wanashughulikiwa kama mbuzi kule Vingunguti basi adabu itakuwepo na tutaheshimiana.
Inaumiza sana, fedha nyingi zinatumika, muda na juhudi halafu maamuzi hayaheshimiwi.
issue gani unajadili hapa? Sasa hivi tunasubiri matokeo tuwazabue tena. Kwikwikwi. Mmeanza kulia kabla hata ya mambo. CCM oyeeee, Chama dume, Chama kikongwe Africa. Kama hutaki acha.Usiongee kama upo ngomani,Watu wanajadili issues wew unaleta mipasho hapa.
Si Kweli, acha Kupotosha. Katiba na Tume ya Uchaguzi ndiyo wenye Determination ya Demokrasia. Saana saana Tume ya Uchaguzi ikiwa huru mbona Demokrasia inashamili.Rais ndiye mlezi wa demokrasia inapokuwa kinyume chake mjue mmeumia kwani neno demokrasia litasubiri mpaka aamue kung' atuka madarakani.Ni stori inayofanana na baba ktk familia kuwa ndiye mlezi wa maadili ikitokea yeye ndie chanzo cha mmomonyoko wa maadili familia yote huangamia
Hizo taarifa zako za mitaani. Soma hapaUtitiri wa Police, Vikosi vya SMZ kama vile KMKM, KVZ, KZU, JKU, na Wakiseidiwa na Jeshi LA Wananchi Tz, Wamevamia na kulizunguka Jimbo la Dimani na kupeleka Makundi ya Wapiga kura hewa Jimboni hapo na kuwatia khofu Wapiga kura halali hadi kuogopa kujitokeza kupiga kura.... Hakuna Uchaguzi Dimani, Bali ni Uhuni na Uchafuzi.... Haki Haiombwi Inadaiwa... Licha ya Yote hayo.... Aluta Continue.....
Hii imani yako ndo inasaidia Tanzania kuwa na amani,maana 2020 mtasema mnaiondoa CCM 2025Maccm watajitahidi kujionesha wao ndio wa jjuu katika marudio ya chaguzi hizi zinazoendelea leo kote Nchini.
Lakini ukweli utabakia tangu uchaguzi wa Octoba 2015 CCM IMEKUFA imebaki na WIZI WA KURA TU.
2020 SIO MBALI KWA JINSI MAGUFULI ANAVYOTOKA KWA MANENO NA MATENDO YAKE SADUKU LA KURA LITAWAUMBUA VIBAYA MNO.
zec mlisema wamempa uraisi shain na mkasema pia NEC imeiba kura za lowassa????? auTofautisha Nec na Zec