Sijawahi kuona watu kwa jina tuu lakini kwa utu sio watu Kama CCM.
Looo wana tabia ambazo hata mnyama hana, wana tabia ambazo hata shetani hana. Wana tabia ambazo hata ibilisi hana. Wana tabia amabzo hata mafirauni hawakuwa nazo. tabia za wana CCM ni za ajabu sana, Na sijawahi kuzisikia popote ulimwenguni zaidi ya wao.
Wapotefu waliopotea wasioijua njia. Viziwi wasiosikia jema lolote, wabubu wasiosema haki inapidhulumiwa.
Ni watu wenye kiburi, jeuri, washindani, wagomvi, mahasidi, mafisadi, wizii, wakhasiri, waporaji, walaghai, mabepari.
Kila ubaya wanao, Hawana Jema lolote, ana Kama utaliona Jema basi litakutumbukia nyongo.
Loo
Kwanini wanalaghai watu na ulimwenguni Kuwa Tanzania kuna mfumoo wa vyama vingi na wakati hakuna.
Tanzania kuna demokrasia wakati hakuna.
Sipendi kuona wala kusikia mtu yoyotee anadhulumiwa haki yake, Huna inaniuma sana bila ya kujalisha dini, rangi, Kabila, chama, jinsia n.k