Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Haya mambo hayakuanza jana wala leo, haya mambo yalianza muda mrefu tangu 2010 CHADEMA walipowatuhumu CUF ya Maalim kule Zanzibar ni CCM B. Baada ya Seif kukubali kushirikiana na CCM katika serikali ya umoja wa kitaifa.
Kuna kipindi CUF waliwahi kuitwa WALIBERALI wanatetea ushoga, hii ilikuwa bungeni.
Lakini hebu tuachane na hayo turudi katika uchaguzi mdogo wa udiwani wa kata 22 uliofanyika. Kabla ya uchaguzi kuna mambo mengi yalijitokeza na maneno mengi kuzungumzwa ikiwemo.
1. Shaibu Mketo na Mtatiro walitoa msimamo wao kuwa hawatasimamisha mgombea yoyote wa CUF na wala wagombea waliosimamishwa na Lipumba hawatambuliki hivo akawaomba wanaCUF kutokuwaunga wagombea waliosimamishwa na Lipumba.
2. Kuna watu walizusha mitandaoni CUF imeshakufa pamoja na Lipumba amefilisika kisiasa.
3. Kuna watu walizusha maneno Lipumba kila anapokwenda kwenye kampeni kuwanadi wagombea wa chama anazomewa.
4. Kuna watu walizusha Lipumba akipata kura zaidi ya 5 katika kata watajiuzulu kwa maana Lipumba hatakiwi.
Baada ya uchaguzi haya ndo yalikuwa matokeo baadhi ya maeneo:
Kata ya Kimwani, Halmashauri ya Muleba
CUF 2898
CCM 2882
CHADEMA 108
Hapa CUF ilishinda.
Kata ya Malta, Halmashauri ya Kwimba
CCM 1997
CUF 1725
CHADEMA 422
ACT 305
Halmashauri ya Sengerema kata ya Kahumulo
CCM 2251
CUF 1987
CHADEMA 245
Geita mjini kata ya Nkome
CCM 5443
CUF 3035
CHADEMA 333
Dar es Salaam kata ya Kijichi
CCM 7647
CUF 4574
CHADEMA 3433
Halmashauri ya Mbinga kata ya Maguu
CCM 3783
CUF 3014
CHADEMA 358
Tukienda upande wa NCCR waliosema chama hakipo
Kata ya Lembeni
CCM 2403
CHADEMA 1080
NCCR 87