Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,411
Mpaka marehemu wamepiga kura
Hahahahaha pole na bado tusipokazana kudai Tume huru ya Uchaguzi watapiga kura hata magari mabovu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka marehemu wamepiga kura
Acha uwongo CUF haijashinda popote kwani imenyang'anywa hata kile chake cha mleba.baada ya kumalizika kwa uchaguzi wa kata 22 za udiwani na hatimaye cuf kupata 1 na chadema 1 ,
jee ni kweli cuf kupitia profesa lipumba sasa imeanza kukubalika kwa wananchi kuliko chadema ,
ikubukwe ya kwamba kabla ya uchaguzi baadhi ya makada wakubwa wa cuf akiwemo julius mtatiro pamoja shaibu mketo waliwahi kutamka wazi kuwa cuf haijasimamisha mgombea na hivo kuwataka wananchi kuunga vyama vingine kupitia ukawa.
ikumbukwe pia kabla ya uchaguzi mdogo kumekuwepo na kundi la watu waliokuwa wakiwazomea wagombea wa cuf pamoja profesa lipumba kuonyesha ishara cuf haikubaliki lakini pia cuf ya lipumba imepoteza mvuto kwa wananchi.
sasa baada ya wagombea hawa kuingia katika kuingia katika uchaguzi matokeo yalikuwa hivi upande wa dar na kanda ya ziwa. ......
1.kata ya KIMWANI iliyopo halmashauli ya muleba uko bukoba kanda ya ziwa
CUF 2898
CCM 2882
CDM 208
2.KATA YA NKOME huko geita kanda ya ziwa hioo
CCM 5443
CUF 3035
CDM 333
3.HALMASHAULI YA SENGEREMA kanda ya ziwa hii kata ya kahumulo
CCM 3783
CUF 1987
CDM 358
4.HALMASHAULI YA KWIMBA kata ya malta.
CCM 1997
CUF 1725
CDM 422
5.DAR ES SALAAM kata ya kijichi
CCM 7647
CUF 4577
CDM 3433
ukiangalia kwa matokeo haya utagundua cuf amepata kura nyingi kuliko chadema ,
lakini pia ukiangalia kwa matokeo haya kama upinzani wangeweka mgombea mmoja tuu wangeweza kushinda ushauli wangu viongozi kwanini msiungane mkamaliza tofauti zenu hii hali inakatisha tamaa wapiga kura jamani ,.....
lipumba kaa wenzio mmalize tofauti zenu hii hali inatuumiza wapiga kura pia akina lisu mbowe unganeni na cuf
utapimaje kwa aina ya uchaguz uliopangwa na kudhibitiwa watu fulan kushindaWakuu leo ndiyo Ile siku ya kujua kama rais Magufuli ama anapendwa ama Tayari raia washamchoka. Tupia hapa kinachojiri katika zoezi la upigaji kura na matokeo, na vipi mwitikio wa wananchi
NINI KIMETOKEA KWENYE UCHAGUZI WA MARUDIO?
Na. Julius S. Mtatiro (23 Jan 2017).
Goodmorning. Katika uchaguzi huu mdogo CUF ilikuwa inatetea kata 1 ya Kimwani Muleba na CHADEMA ilikuwa inatetea kata 1 ya Duru, Babati. Kata zingine zote zilikuwa za CCM na zilikuwa zinatetewa na CCM.
Matokeo yanaonesha CCM imetetea viti vyake vyote vya udiwani (takribani 20), CUF imenyang'anywa kiti chake kimoja (Kimwani) na CHADEMA imelinda kiti chake kimoja (Duru).
hapa linahitajika litolewa tamko kulinda demokrasia .Anaandika Nizzoh Afrika Mwanaharakati
Kumetokea mgogoro kati ya mawakala wa CUF na Askari Polisi. Hali hii imepelekea mawakala wa CUF kuondolewa kwa nguvu kwenye vyumba vya kupigia kura na hivyo mawakala wa CCM kubaki peke yao.
Sababu za mgogoro huu ni kama ifuatavyo:
-Mawakala wa CUF amegundua baadhi ya masanduku yamejazwa kura ambazo zimeshapigwa tiki kwa mgombea wa CCM.
-Mawakala wa CUF wamegundua kuwa kuna watu hawamo ndani ya daftari la kupiga kura ila wamekuja kupiga kura na wameruhusiwa kupiga licha ya majina yao kukosekana kwenye daftari.
-Chumba number 6 kituo cha Kibondeni, imegundilikana kwamba masunduku yote yaliyopo yamejazwa kura ambazo zimeshapigwa tayari.
-Wapiga kura wengi jimbo la Dimani ni hewa.
-Police wameanza kupiga watu maeneo ya Fuoni kituo cha Kibondeni baada ya watu hao kudai kuna kura feki kwenye kituo hicho.!
Weka jumla ya kura kwa kila chama,kwani kila chama kazi yake kubwa ni kutaka kushika dola na sio kufuata miungano.Kiwanja cha ndege Morogoro CUF na CHADEMA mngesimamisha mgombea mmoja ukawa ingeshinda, ccm imeshinda kwa sababu mmegawana kura! Kwa nini mnashindana wenyewe kwa wenyewe? ukawa una maana gani sasa?
Kata ya Kijichi kura zote za upinzani zingewekwa kwa mgombea mmoja wa upinzani CCM ingeanguka,
Si kwamba ccm inapendwa la hasha , upinzani unapendwa zaidi ila ni vinara wa kugawana kura
AhahahahahahahahPoleni. Kwani huko kwenu Songea kuna mafisadi?
Sijaelewa ni mwaka gani huo maana hapo chini umeandika matokeo ya Mwaka 2015! na hayo ya juu ni mwaka gani haswa? Wapinzani bila kutumia mfumo wa Gambia ule wa goroli mtapigwa sana tu.. Songea kuna kata ya Tanga? Upinzani pia unatakiwa uachane na Mafisadi Kwa mwenendo huu wa Sasa Mbowe aachie hana sifa tena za Uongozi Madeni yamemuelemea.... Akipata madaraka ndio alipanga kuyalipa?MATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI KANDA YA KUSINI
HALMASHAURI YA WILAYA MBINGA
Kata ya Maguu
Waliojiandikisha 6903
Waliopiga kura 4101 (59.41%)
Kura zilizoharibika 29 (0.6%)
CCM: 2355 (57.43%)
CHADEMA: 1717 (41.86)
MANISPAA YA SONGEA.
Kata ya Tanga
Waliojiandikiaha :4870
Waliopiga Kura :2618 (53.76%)
Kura zilizoharibika :9 (0.3%)
ACT :8 (0.3%)
CCM :1819 (69.48%)
CDM :770. (29.41%)
CUF :12 (0.46%)
Kata hii tumeipoteza
Mwaka 2015 Matokeo yalikuwa hivi;
*Halmashauri ya Mbinga*
Kata ya Maguu
CCM. 3,783
CDM. 358
*Manispaa ya Songea*
Kata ya Tanga
CDM. 1,904
CCM. 1,739
Philbert Ngatunga
Katibu Kanda ya Kusini (CHADEMA)
+255787158788
Kumbe ulikuwa hujui jana kulikuwa na uchaguzi? Pia kama hujui kama Songea Mjini kuna kata inaitwa Tanga basi ungeulizaSijaelewa ni mwaka gani huo maana hapo chini umeandika matokeo ya Mwaka 2015! na hayo ya juu ni mwaka gani haswa? Wapinzani bila kutumia mfumo wa Gambia ule wa goroli mtapigwa sana tu.. Songea kuna kata ya Tanga? unatakiwa uachane na Mafisadi Kwa mwenendo huu wa Sasa Mbowe aachie hana sifa tena za Uongozi MAdeni yamemuelemea.... Akipata adaraka ndie alipanga kuyalipa?
Sipo Songea Man...! na swali mbona nimeuliza na nilitarajia Jibu zuri kutoka kwako na sio Mavi man! na kama huwezi jibu haina noma Man... Unalolifahamu wewe si kwamba wote tutalifahamu pia elimu pana sana. Me huwa Napenda Timu inayoshinda tu.. Siwezi kuteseka Man.Kumbe ulikuwa hujui jana kulikuwa na uchaguzi? Pia kama hujui kama Songea Mjini kuna kata inaitwa Tanga basi ungeuliza
Subiri siku ifungwe uhame. Ukifanya analysis utajua ni timu gani inapanda kiwango kila awamu ya uchaguzi.Sipo Songea Man...! Swali nimeuliza natarajia Jibu na sio Mavi man! na kama huwezi jibu haina noma Man... Unalolifahamu wewe si kwamba wote tutalifahamu pia elimu pana sana. Me huwa Napenda Timu inayoshinda tu.. Siwezi kuteseka Man.
Ukiweka Habari ishibishe kabisa ili kuepuka other circumstance my advice tu kama utayachukua...
Mambo ya chenga twawala lakini kutufunga wametufunga niliyaachia zenjiSubiri siku ifungwe uhame. Ukifanya analysis utajua ni timu gani inapanda kiwango kila awamu ya uchaguzi.