Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Detective Afande Goodluck atoa Ushahidi, Kesi yaahirishwa hadi Novemba 24, 2021

Shahidi: Si kweli Kwa sababu Baada ya Kuwakabidhi Kituo cha Polisi Mbweni Hatukurudi Tena.. Na Moshi....

WS: SUBIRI KWANZA

Wakili wa Serikali: Mheshimiwa Jaji naomba Kwa Leo Niishie Hapo

Wakili wa serikali leo hana raha maana shahidi wake wa Jamhuri anakwenda mbio kweli kweli .....
 
Hivi kesi zote hapa Duniani, Polisi wangekuwa Mashahidi kwa Kesi Nzima, Si watuhumiwa wote wangekuwa wanakutwa na Hatia. Maana kesi Yote mashahidi ni Askari Askari Askari, hapa kuna Haki Kweli? Inakuwaje Vitu vya Polisi Havina CCTV?
 
Hii nchi hatuko serious. Mama anasifia kifua cha Harmonize huku kesi ya kubumba inapoendelea yeye anaona fresh tu. Duh!🤦🏾‍♂️
Maza kapenda fua la Tembo..madogo sasa watashinda Jim kutengezeza sick packs..nchi ina vituko hii
 
Hiyo aibu ndiyo italeta hukumu ya haki km hakimu atataka kutenda haki kwa Mbowe. Au unadhani yale maswali ya Kibatala Ni ya kujifurahisha.

Ulienda shule kusomea ujinga?
 
Kwa ufupi wa akili yako hapo umeielewa nini.
 

Umeligundua hili mkuu. Ni hao askari wa Moshi ndio waliplant silaha na madawa na kisha kujichanganya kama raia. Na kwa kuwa Polis haitaki askari hao wawe sehemu ya shitaka hili - hawakuwazumzia katika maelezo yao. Cross examination inathibitisha sasa kuwa kulikuwa na askari wengi kuliko waliotoka Arusha!!

Shahidi kaumbua wenzake!
 
Wakili wa serikali leo hana raha maana shahidi wake wa Jamhuri anakwenda mbio kweli kweli .....

Kaogopa hata kumuuliza maswali tena maana angeharibu. Aliyoharibu inatosha tayari. Kumbe kulikuwa na askari kutoka Moshi. Kumbe toka siku wanakamatwa mpaka siku ya kuchukuliwa maelezo shahidi alikuwa ana hayo madawa ya kulevya, simu na silaha kwenye begi lake!! (Habari za Luger, Luvern na CZ 100 zinanijia hapa).
 
Gari la RPC lina seats ngapi?
4
Mlikuwaxwangapu?
7
Nani alikaa juu ya RPC
ALIKAA PEKE YAKE SISI TULIBANANA SEAT YA
Kwa hiyo askari waliotumwa operation nzito ya kukamata magaidi wa ngazi ya makomandoo wa JWTZ walikosa gari ya majeshi yote na serikali nzima na kulazimu pair tatu za wanaume kupakatana toka Himo mpaka Dar?
 
Yani huu uzi una coments 30 tu?

Hivi wale wazungu bado wanaendelea kwenda mahakamani?
 
Sasa mbona sioni ushahidi wa ugaidi? Au mimi ndio sijui tu?
YAANI KINACHOELEZWA NI UKAMATAJI TU, SASA MATENDO YA KIGAIDI NI YEPI SASA? Mara Rau, mara Aishi, Mara Mbweni....Sasa ugaidi utaelezwa lini?
 
YAANI KINACHOELEZWA NI UKAMATAJI TU, SASA MATENDO YA KIGAIDI NI YEPI SASA? Mara Rau, mara Aishi, Mara Mbweni....Sasa ugaidi utaelezwa lini?
Ushahidi wa kupika mpishi kasahau kuweka chumvi, viungokama vilipuzi, picha, sauti chakula.kikakosa ladha

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Wewe endelea kudharirisha watu badala ya kuhangaika na ushahidi- mtu wenu atafungwa kibudu
Hivi wewe na akili yako umeona ushahidi unaoainisha ugaidi hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…