Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Detective Afande Goodluck atoa Ushahidi, Kesi yaahirishwa hadi Novemba 24, 2021

Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Detective Afande Goodluck atoa Ushahidi, Kesi yaahirishwa hadi Novemba 24, 2021

Sasa mbona sioni ushahidi wa ugaidi? Au mimi ndio sijui tu?
Kesi ya msingi ya ugaidi bado haijaanza. Sasa hivi kesi inayoendelea ni ya hao magaidi kudai kuteswa, kuning'inizwa kama popo na kushindishwa njaa baada ya kutiwa mbaroni na akina Afande Kingai. Yanadai kuwa hayakutendewa haki wakati wa kuyakamata hayo makomando. Kwamba komando anapaswa kupetiwa petiwa wakati polisi anamkamata. Hii ni kwa mjibu wa PGO Kibatala anasema.
 
Hivi wewe na akili yako umeona ushahidi unaoainisha ugaidi hapo?
Unaumiza kichwa bure mkuu huyu ni kichwa maji ndo wale wanasema sabaya anaonewa ??? Yaani watu woote wamchukie sabaya kwa kipi????
Sabaya ni jambazi
 
Back
Top Bottom