Kesi ya msingi ya ugaidi bado haijaanza. Sasa hivi kesi inayoendelea ni ya hao magaidi kudai kuteswa, kuning'inizwa kama popo na kushindishwa njaa baada ya kutiwa mbaroni na akina Afande Kingai. Yanadai kuwa hayakutendewa haki wakati wa kuyakamata hayo makomando. Kwamba komando anapaswa kupetiwa petiwa wakati polisi anamkamata. Hii ni kwa mjibu wa PGO Kibatala anasema.