Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe -Inspector Lugawa ISSA Maulid atoa Ushahidi, Kesi yaahirishwa hadi Novemba 25, 2021

Mimi bado sielewi kitu, mbona naona kama madhahidi wa mashitaka ushahidi wao unafanana (kamata, kula, safirisha, weka ndani, andika) tofauti ni mashahidi, nini kinatafutwa maana sioni kutegwa kwa makombora, mabomu na mahandaki.
USHAHIDI WA UGAIDI BADO HATUUONI, Kinachoonekana ni taratibu za ukamataji, kusafiri toka Moshi hadi Dar, kunywa supu na MO energy, kuwekana mahabusu....Sasa ushahidi wa ugaidi tutaelezwa saa ngapi ili tujue?
 
Elimu ya mashahidi upande wa serikali ,wamesoma wapi,wamejiunga lini na jeshi la polisi na kuajiriwa rasmi,hilo mmelihoji ?
 
USHAHIDI WA UGAIDI BADO HATUUONI, Kinachoonekana ni taratibu za ukamataji, kusafiri toka Moshi hadi Dar, kunywa supu na MO energy, kuwekana mahabusu....Sasa ushahidi wa ugaidi tutaelezwa saa ngapi ili tujue?
Yaani tangu mlolongo wa kesi uanze sijaona shahidi hata mmoja aliyethibitisha namna ugaidi ungefanywa
 
Sasa askari wa tazara anahusika nn wkt Shahid anakataaa kuwa akina Ling'wenya hakuwa huko ktk kituo Cha tazara? Hata mpubavu atagundua Kuna mchezoe una chezwa
 
USHAHIDI WA UGAIDI BADO HATUUONI, Kinachoonekana ni taratibu za ukamataji, kusafiri toka Moshi hadi Dar, kunywa supu na MO energy, kuwekana mahabusu....Sasa ushahidi wa ugaidi tutaelezwa saa ngapi ili tujue?
Endeleeni Kula Mtori nyama mtazikuta chini ya sufuria.
 
kesi ya kinafki hii, hapo hamna kesi na leo itahairishwa.

Ni kwania ya kufikia mchakato wa katiba mpya ulopangwa kufanyika 2022, na sio 2021 kama mbowe alivotaka.

Kwahio hapo watamwachia mwisho wa mwaka huu au mwanzoni mwa mwaka 2022.
Nakubaliana na wewe maana hata Wajawazito kurudi shule wamekubali Leo ili waanze mwakani.
 
USHAHIDI WA UGAIDI BADO HATUUONI, Kinachoonekana ni taratibu za ukamataji, kusafiri toka Moshi hadi Dar, kunywa supu na MO energy, kuwekana mahabusu....Sasa ushahidi wa ugaidi tutaelezwa saa ngapi ili tujue?
Bado unapikwa,ukiiva akina king'aa watapanda nao kwenye kizimba🤔.
 
Yaani mpaka wewe urudi ndio Boss ajue cha kufanya
 
Yaani tangu mlolongo wa kesi uanze sijaona shahidi hata mmoja aliyethibitisha namna ugaidi ungefanywa
Ni kweli bado kesi inaonekana kama vile kitu cha kufikirika kuliko uhalisia, Sasa wangeondoka huko kwenye hilo dude lililokama set up au flaming kama wahusika wanavyodai Sasa waanze kutuletea fact za ugaidi maana ndo kitu wengi tunasubiri.
 
Haa Mawakili wa Mbowe"wamesomea" kazi yao, Mtobesya yuko smart! Jaji anaongozwa na Mtobesya!!

Kuna wakati Jaji anavaa jezi lakini vibendera wanamvua na kumpa joho lake kwa lazima...naona kwa mbali na hukumu itakuwa na mauzauza kama tunavyoona kwenye tamthilia pendwa
 
kimeumana.🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…