Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe: Jaji aahirisha kutoa uamuzi mpaka tarehe 17/11/2021 saa tatu asubuhi

Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe: Jaji aahirisha kutoa uamuzi mpaka tarehe 17/11/2021 saa tatu asubuhi

Yaan hapo alishindwa aandike nn hapo waliairisha kesi wakakae jopo zima waandikeeeeee mwisho wa gazeti aseme anatupilia mbali pingamizi......

Kwenye hii kesi huyo jaji atajua hajui, hapo alipo kabeba gunia la misumari.
 
Simwelewi Jaji anapoahirisha kesi kwa kusema shahidi atakuwa kizimbani na ataendelea na ushahidi wake.
Imekaaje hiyo?
Labda anataka shahidi awepo atoeushahidi wake kwanini aliingia na vitu hivyo, maana hatakama atakataliwa kuendelea kuwa shahidi inabidi awe mahalamani.
 
Back
Top Bottom