Tindo JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 63,730 Reaction score 111,542 Nov 16, 2021 #101 Sweet16 said: Yaan hapo alishindwa aandike nn hapo waliairisha kesi wakakae jopo zima waandikeeeeee mwisho wa gazeti aseme anatupilia mbali pingamizi...... Click to expand... Kwenye hii kesi huyo jaji atajua hajui, hapo alipo kabeba gunia la misumari.
Sweet16 said: Yaan hapo alishindwa aandike nn hapo waliairisha kesi wakakae jopo zima waandikeeeeee mwisho wa gazeti aseme anatupilia mbali pingamizi...... Click to expand... Kwenye hii kesi huyo jaji atajua hajui, hapo alipo kabeba gunia la misumari.
mr_politician JF-Expert Member Joined Sep 20, 2015 Posts 631 Reaction score 452 Nov 17, 2021 #102 The Palm Tree said: Basically, atatoa uamuzi shahidi akiwepo mahakamani... Click to expand... Ok, apo sawa. shukrani kwa ufafanuzi huu.🌴
The Palm Tree said: Basically, atatoa uamuzi shahidi akiwepo mahakamani... Click to expand... Ok, apo sawa. shukrani kwa ufafanuzi huu.🌴
Liwagu JF-Expert Member Joined Jan 25, 2017 Posts 5,593 Reaction score 6,754 Nov 17, 2021 #103 nyengella said: Simwelewi Jaji anapoahirisha kesi kwa kusema shahidi atakuwa kizimbani na ataendelea na ushahidi wake. Imekaaje hiyo? Click to expand... Labda anataka shahidi awepo atoeushahidi wake kwanini aliingia na vitu hivyo, maana hatakama atakataliwa kuendelea kuwa shahidi inabidi awe mahalamani.
nyengella said: Simwelewi Jaji anapoahirisha kesi kwa kusema shahidi atakuwa kizimbani na ataendelea na ushahidi wake. Imekaaje hiyo? Click to expand... Labda anataka shahidi awepo atoeushahidi wake kwanini aliingia na vitu hivyo, maana hatakama atakataliwa kuendelea kuwa shahidi inabidi awe mahalamani.
Z zandrano JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 7,893 Reaction score 8,816 Nov 17, 2021 #104 tupilia mbali hoja za kuokoteza tupa kule.
P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 18,406 Reaction score 14,643 Nov 17, 2021 #105 mdudu said: Sasa hivi mnaleta Habari kwa mwendo wa konokono. Click to expand... Punguza mataputapu we kenge
mdudu said: Sasa hivi mnaleta Habari kwa mwendo wa konokono. Click to expand... Punguza mataputapu we kenge