Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umekujaje sasa !Uzi umedoda,,
Nyumbu wako ccm wanamuunga mkono mama ili kumkomoa Ndugai na marehemu!
Je, mabeberu nao wamemsusa Mwamba? Maana siwaoni hapo.
Mungu wabariki WazunguNakumbuka maneno ya mzungu nimemsahau jina Ni mmarekani alisema, hii kesi ni bogus terrorism charges
Kila dhuluma italipwaKina Kibatala wako vizuri sana kwenye mawakilisho yao. Kitu kinacho onekana Jaji yuko kama wakili wa upande wa mashtaka.
Yaani ana wasaidia hata kwenye vitu walivyo visahau.
Kuna shida kubwa sana kwenye hii kesi.
Siku ukijagundua kuwa huyu ndiye baba yako halali utasemaje? Unauhakika mama yako hakuwa na figa la ziada?Baba yako anaonekana alikuwa jinga.
Utadoda wewe na ukoo wa Panya.Uzi umedoda,,
Nyumbu wako ccm wanamuunga mkono mama ili kumkomoa Ndugai na marehemu!
Je, mabeberu nao wamemsusa Mwamba? Maana siwaoni hapo.
Wewe kilaza hiyo ngumbaru uliyopitia ndiyo imekuelekeza hivyo?!! Hata hiyo NONSENSE naona umecopy sasa unaipaste hapa!! Go to school bhana acha kuleta uozo hapa arraaa!Sema hamna mawakili kwa upande wa washitakiwa lakini judge yuko sahihi. Mawakili wa Mbowe wote ni kanyaboya.
SIJUI WAMEHONGWA!!
AU WAMETISHWA!!
NONSENSE
🤣🤣🤣🤣 Tanzania sihamiGo to school
Kwenye jalala lipi!!??Vielelezo vimetupiliwa mbali!
Ingia clubhouse mkuuKesi ingekuwa live japo audio tu ..
Ingia clubhouse mkuu
bora nichapwe mijeredi kuliko kuwa shahidi wa uongo afu nikutane na hawa wana, aisee wanakuvua nguo mbele ya hadhara!!!Wakili Nashon Nkungu: Je Unafahamu Kuwa Mnapo Pata hitilafu Gari hiyo inatakiwa Kuripotiqa Kwenye Kituo Cha Karibu
Shahidi: Si Kweli Wakili
Nashon Nkungu: Unaifahamu Police Form Fomu EMI?
Shahidi: Hapana sihifahamu