Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Januari 10, 2022. Shahidi namba 8 aendelea kutoa ushahidi. Kesi imeahirishwa hadi kesho 11/01/2022

Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Januari 10, 2022. Shahidi namba 8 aendelea kutoa ushahidi. Kesi imeahirishwa hadi kesho 11/01/2022

Kina Kibatala wako vizuri sana kwenye mawakilisho yao. Kitu kinacho onekana Jaji yuko kama wakili wa upande wa mashtaka.
Yaani ana wasaidia hata kwenye vitu walivyo visahau.
Kuna shida kubwa sana kwenye hii kesi.
Kila dhuluma italipwa
 
Uzi umedoda,,

Nyumbu wako ccm wanamuunga mkono mama ili kumkomoa Ndugai na marehemu!

Je, mabeberu nao wamemsusa Mwamba? Maana siwaoni hapo.
Utadoda wewe na ukoo wa Panya.
 
Sema hamna mawakili kwa upande wa washitakiwa lakini judge yuko sahihi. Mawakili wa Mbowe wote ni kanyaboya.

SIJUI WAMEHONGWA!!
AU WAMETISHWA!!

NONSENSE
Wewe kilaza hiyo ngumbaru uliyopitia ndiyo imekuelekeza hivyo?!! Hata hiyo NONSENSE naona umecopy sasa unaipaste hapa!! Go to school bhana acha kuleta uozo hapa arraaa!
 
AIgmal.jpg
 
Tangu mwanzo nilisema kwamba huyu jaji anaanda hukumu akisaidiana na mawakili wa serikali.Kwa hiyo yeye kazi yake ni kusoma hukumu tu.
 
Wakili Nashon Nkungu: Je Unafahamu Kuwa Mnapo Pata hitilafu Gari hiyo inatakiwa Kuripotiqa Kwenye Kituo Cha Karibu

Shahidi: Si Kweli Wakili

Nashon Nkungu: Unaifahamu Police Form Fomu EMI?

Shahidi: Hapana sihifahamu
bora nichapwe mijeredi kuliko kuwa shahidi wa uongo afu nikutane na hawa wana, aisee wanakuvua nguo mbele ya hadhara!!!
 
Back
Top Bottom