Hakika. Kwa nini wanahangaika wakati yupo mtu ambaye aliongea na wahusika wa ugaidi moja kwa moja??Kinachoshangaza, aliyewapa information ya mpango wa ugaidi Afande Urio, sio shahidi kwenye hii kesi na mahakama haina maelezo yake...
Huyu Urio angekuwa mtu muhimu sana mahakamani kwenye hii kesi
Mkuu unafahamu kila kitu kinachoongelewa mahakamani kinawekwa kumbukumbu (recorded)!Hana ujembe wowote wanamuwekea boya ili amalize vitu vya kuhoji......
Mbona hao makomandoo kina Ling'wenya, Adamoo na Bwire wanamfahamu physically na kwamba ni Lt wa JWTZ. Hii kesi itaisha katika namna ya ajabu sana.Urio huenda ni jina la kusadikika amamtu fulani iviii amepachikwa jina hilo kwa maana ya kuficha identity hahaaaaa
Shaidi kaulizwa akasema walimchukulia kama informer. Sasa informer unamtaja jina kabisa. Si unaweka maisha yake hatarini? Huyu mawakili wa utetezi lazima wampandishe kizimbani.Hakika. Kwa nini wanahangaika wakati yupo mtu ambaye aliongea na wahusika wa ugaidi moja kwa moja??
Wangemuweka kwenye ushahidi ili anyooshe yale aliyoyasikia kutoka kwa Mbowe na hao makomandoo moja kwa moja.
Yeah... nakumbuka kwenye kesi ndogo walisema walikuwa wanamwona Tazara police. Nadhani ndo alikuwa anakuja kupika kesi....Mbona hao makomandoo kina Ling'wenya, Adamoo na Bwire wanamfahamu physically na kwamba ni Lt wa JWTZ. Hii kesi itaisha katika namna ya ajabu sana.
General Lengai Ole Sabaya😅😅😅Hadi mimi nafikiria kwamba, huenda hii kesi ipo kwaajili ya ku expose lile kundi la wasiojulikana ambalo sasa linaonekana Director alikua ni General Lengai Ole Sabaya. Hii kesi inafukua mengi sana.
Cc johnthebaptist mama D Crimea
Kama kibatala alivyouliza kuwa Wanamtumia Luten Urio kama mtego kuwakamata ili wamfungulie kesi ya kisiasa. Kibatala ametema nyongo pale pale kuwa ni kesi ya kiasa. Watu wameshachokaShaidi kaulizwa akasema walimchukulia kama informer. Sasa informer unamtaja jina kabisa. Si unaweka maisha yake hatarini? Huyu mawakili wa utetezi lazima wampandishe kizimbani.
Hapo ndio itajulikana mbivu na mbichi
Daaa Mama bana alishashikana mkono na Gaidi. Watu hata hawamwogopi Mungu aisee. Ila kitu Kikwete alikuwa Mtu halafu mjanja sana pakitokota anawaita ikulu anawatuliza wanakunywa juice maisha yanaendelea sio huu ujinga ulioletwa na jiwe unaendelea mpaka sasa.
ili iweje?Hana ujembe wowote wanamuwekea boya ili amalize vitu vya kuhoji......
🤣🤣🤣Judge anaandika hayo hayo ya huyo shahidi unayemuita "boya" hata wakija mashahidi wengine ambao unafikiri ni wazuri (ambao hawapo), tayari huyu atakua amesababisha damages kwenye ushahidi wao. Ametengeneza doubts nyingi sana. Kubali tu mkuu kwamba kesi haiendi kama ulivyotegemea.
Jiwe alijua hakushinda. Urais wake ulikuwa wa mashakaDaaa Mama bana alishashikana mkono na Gaidi. Watu hata hawamwogopi Mungu aisee. Ila kitu Kikwete alikuwa Mtu halafu mjanja sana pakitokota anawaita ikulu anawatuliza wanakunywa juice maisha yanaendelea sio huu ujinga ulioletwa na jiwe unaendelea mpaka sasa.
Ndio huo wa akina GoodluckTumuulize IGP Siro aliyesema wana ushahidi mzito.
kibongobongo hupati cheo usiposhiriki kwenye hujuma.Basi kazi ipo
Afu askari wote waliohusika na ukamataji wa watuhumiwa, jamaa amekiri wamepandishwa vyeo....
Serikali inajiaibisha yenyewe. Hakuna kesi hapa.Siti ya mbele kabisa
Lakini kina Ligwenya wanamjua maana walikuwa nae Ngerengere Jeshini.Urio huenda ni jina la kusadikika amamtu fulani iviii amepachikwa jina hilo kwa maana ya kuficha identity hahaaaaa
Siko mahakamani bwashee!Wepesi upi?
Waambie watesi wake ambao ni ndugu zako wewe na mama D wamuachie.
Jiwe kaharibu sana demokrasia ya hii Nchi,. Itachukua mda sana kusawazisha huu ujingaDaaa Mama bana alishashikana mkono na Gaidi. Watu hata hawamwogopi Mungu aisee. Ila kitu Kikwete alikuwa Mtu halafu mjanja sana pakitokota anawaita ikulu anawatuliza wanakunywa juice maisha yanaendelea sio huu ujinga ulioletwa na jiwe unaendelea mpaka sasa.
Hana ujembe wowote wanamuwekea boya ili amalize vitu vya kuhoji......