Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,690
- 3,399
Hakika. Kwa nini wanahangaika wakati yupo mtu ambaye aliongea na wahusika wa ugaidi moja kwa moja??Kinachoshangaza, aliyewapa information ya mpango wa ugaidi Afande Urio, sio shahidi kwenye hii kesi na mahakama haina maelezo yake...
Huyu Urio angekuwa mtu muhimu sana mahakamani kwenye hii kesi
Wangemuweka kwenye ushahidi ili anyooshe yale aliyoyasikia kutoka kwa Mbowe na hao makomandoo moja kwa moja.