Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe leo Januari 11, 2022. SP Jumanne Malangahe amaliza kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa hadi Januari 13, 2022

Kinachoshangaza, aliyewapa information ya mpango wa ugaidi Afande Urio, sio shahidi kwenye hii kesi na mahakama haina maelezo yake...

Huyu Urio angekuwa mtu muhimu sana mahakamani kwenye hii kesi
Hakika. Kwa nini wanahangaika wakati yupo mtu ambaye aliongea na wahusika wa ugaidi moja kwa moja??

Wangemuweka kwenye ushahidi ili anyooshe yale aliyoyasikia kutoka kwa Mbowe na hao makomandoo moja kwa moja.
 
Shaidi kaulizwa akasema walimchukulia kama informer. Sasa informer unamtaja jina kabisa. Si unaweka maisha yake hatarini? Huyu mawakili wa utetezi lazima wampandishe kizimbani.

Hapo ndio itajulikana mbivu na mbichi
 
Kama kibatala alivyouliza kuwa Wanamtumia Luten Urio kama mtego kuwakamata ili wamfungulie kesi ya kisiasa. Kibatala ametema nyongo pale pale kuwa ni kesi ya kiasa. Watu wameshachoka
 
Judge anaandika hayo hayo ya huyo shahidi unayemuita "boya" hata wakija mashahidi wengine ambao unafikiri ni wazuri (ambao hawapo), tayari huyu atakua amesababisha damages kwenye ushahidi wao. Ametengeneza doubts nyingi sana. Kubali tu mkuu kwamba kesi haiendi kama ulivyotegemea.
🤣🤣🤣
 
Daaa Mama bana alishashikana mkono na Gaidi. Watu hata hawamwogopi Mungu aisee. Ila kitu Kikwete alikuwa Mtu halafu mjanja sana pakitokota anawaita ikulu anawatuliza wanakunywa juice maisha yanaendelea sio huu ujinga ulioletwa na jiwe unaendelea mpaka sasa.
Jiwe alijua hakushinda. Urais wake ulikuwa wa mashaka
 
Daaa Mama bana alishashikana mkono na Gaidi. Watu hata hawamwogopi Mungu aisee. Ila kitu Kikwete alikuwa Mtu halafu mjanja sana pakitokota anawaita ikulu anawatuliza wanakunywa juice maisha yanaendelea sio huu ujinga ulioletwa na jiwe unaendelea mpaka sasa.
Jiwe kaharibu sana demokrasia ya hii Nchi,. Itachukua mda sana kusawazisha huu ujinga
 
Back
Top Bottom