Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Alafu Urio ni komando tena luten wa JWTZ aliyeko kazin mpaka muda huuMwaka jana nakumbuka, kuna mtuhumiwa mmoja alisema alimuona Urio akiletwa kituo cha polisi, na aliteswa kama wao.
Sasa leo, imejulikana Urio ni informer. Kumbe kile kipondo alichokuwa anapigwa Urio lilikuwa ni igizo! Du!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mambo ya michongo mkikutana na defense ya maana lazima mpoteane. Ogopa ushahidi wa ku-fabricate.Mimi siyo mtalaam wa kesi lakini binafsi naona kesi hii inawaelemea walioileta Mahakamani?. Mbona kila swali analoulizwa shahidi jibu ni hapana tu?.
Wamezoea kuua tu mambo za kujieleza hawajuiHuyuu Shahidibwa Leo jeuri yoteeee inamuishaaa
Halafu kumbe huyu URIO ni Bado Mwanajeshi? Patamu Hapooooo….
Shahidi Mwanzo alikuwa anajifanya Jeuriiii katulizwa
Utashangaa siku ya hukumu jaji wa mchongo akasema shahidi alijibu vyema maswali ya KibatlaKibatala ni jembe
Kongole sana sana mkuu na Big up kwa sana, vita na shetani sio ya kitoto.
Ndio maana kibatala kaliambia kazi linalojua ni kutesa tu, ma police ccm yote zero brain.Sasa huyu shahidi kila kitu sifahamu!!wamemleta wa nini?
Halafu Kibatala asivyo na dogo atamleta Mdude mahakamani kama shahidi wa utetezi.Haya sasa DPP ameamua kuacha wasiojulikana waanikwe wazi na hatimaye wamejulikana.
Mdude na Magoti wasingeweza kamwe kumjua mtesi wao lakini kupitia kesi hii ya mchongo wamemuona kwa macho mbele ya kizimba
Na mimi ni miongoni mwa watu tunaounga mkono juhud za serikali... Mbowe hakuwa mtu mwema.
Nyie mnachanganya siasa na usalama wa nchi...
Ingieni barabarani mkamtoe
Noma 🤣Halafu Kibatala asivyo na dogo atamleta Mdude mahakamani kama shahidi wa utetezi.
Kinachoshangaza, aliyewapa information ya mpango wa ugaidi Afande Urio, sio shahidi kwenye hii kesi na mahakama haina maelezo yake...
Huyu Urio angekuwa mtu muhimu sana mahakamani kwenye hii kesi
Huenda hata siro anataka kujivua lawama ameamu kila mtu afe kivyakeHadi mimi nafikiria kwamba, huenda hii kesi ipo kwaajili ya ku expose lile kundi la wasiojulikana ambalo sasa linaonekana Director alikua ni General Lengai Ole Sabaya. Hii kesi inafukua mengi sana.
Cc johnthebaptist mama D Crimea
mashahidi ndio wanapaswa kuwa wameshafungwa pamoja na general sabayaHapa ni kupoteza fedha za umma! Hapa hakuna kesi.
Ndio matokeo yake. Ona kilichomtokea NdugaiTutaanza kuchukiana na watu kwasababu za kufunguliana kesi zakuumiza watu wasio wasio na nguvu za dola.
Sasa hivi yuko kimya sana. Ule ushahidi aliosema ndio huu?Huenda hata siro anataka kujivua lawama ameamu kila mtu afe kivyake
Ameen... that cross-exam ilikuwa balaa kubwa kaka! Anahitaji ulinzi wa jeshi la mbinguni haswa! Maombi maalumu kwa jopo la utetezi; iwe mchana iwe usiku tusiwasahau katika maombi Gabrieli na jeshi lake wakatangulie vita hivi; stadi wa kazi na directives zikitoka moja kwa moja Kiti cha Enzi!