Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 15, Nov 2021

Huyu wa leo naye kwa sababu ya maandalizi ya haraka haraka amepewa nyaraka ambayo hata siyo ya kwake eti itumike kama kielelezo cha ushahidi wake...
Nimesoma kila mahali kwenye mada hii na kwingine, lakini sijapata jibu nililokuwa nalitafuta kuhusu jambo hili lililoibuka mahakamani leo.

Tuseme mwisho wa siku ionekane kwamba barua hii ni ya kughushi. Je, hili siyo kosa linalotakiwa kuamriwa na mahakama, na ikithibitika kuwa uhalifu upo wahusika wakaadhibiwa?

This is a very serious issue, people's rights are being denied by falsified evidence!
 
Na mahakama ya CCM Iko kimyaaaa....
 
Eti shahidi kaingia na nondo mahakamani, mamho ya hovyo kabisa
 
Shahidi kapata kesi kwenye ushahidi wa kesi! Tusubirie hukumu yake hiyo Jumatatu. Nikichelewa mnitag
 
Alitumikia kifungo huyu?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…