Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 15, Nov 2021

Hahaha ... anadesa au siyo.
Policcm wajinga sana
Yaani hawa ndiyo wanaotegemewa na ccm kubakia madarakani
 
kumbe alikuwa na dayari amejaza nondo za kutosha.
Kanikumbusha chuo siku ya EU Inveterator kamshtukia jamaa ana kidesa, akamfuata akamuuliza hicho nn, jamaa atamwoneshea kidole kwenye ceiling board ile Ticha kapeleka tu macho kwenye paa aangalie anachooneshwa, jamaa akatupia ile karatasi mdomoni. Jamaa akaulizwa ile kararasi iko wapi akajibu kwa confidence kuwa hajawahi kuwa na karatasi.
 
Wewe ni pimbi!

Kama siyo makosa kuwa na diary kwanini ilichukuliwa na ipo mahakamani?
 
Wewe ni pimbi!

Kama siyo makosa kuwa na diary kwanini ilichukuliwa na ipo mahakamani?
nitajie sheria inayokataza?
iko mahakamni sawa tusubiri mawasilisho ya pande zote na uamuzi wa mahakama
 
ccm wameamua kulitia aibu taifa kupitia mahakama, kuna wakati najuta kua mtanzania maana walopewa dhamana ndo wanalizalilisha taifa kupita kiasi.
Usikufuru mzee jivunie ili upate ujasiri wa kuleta mabadiliko nchini kwakoq
 
Hii kesi imefunguliwa na shetani na mashahidi ni watoto wa mashetani, Mungu ni wa ajabu sana iko siku wao na vizazi vyao dhambi hii itawatafuna hadi jehenam.
 
Yesu alitetewa na watu wachache sana kwenye mateso yake kuliko yule mwizi.
kwa wingi wenu mnavyo mtetea mbowe- atakuwa Giadi tu
Naona unazunguka na hii hoja kwenye kila Uzi so barbarian
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…