Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 15, Nov 2021

Lazima wapinge kwa sababu kama wataachà uamuzi wa Jana usimame [na lazima usimame kwa sababu sheria imekiukwa na hakuna excuse katika hilo], madhara yake ni;

1. Kuipa image mbaya mahakama kuwa inashirikiana na upande Wa mashitaka kukandamiza au kujaribu kunyima haki watuhumiwa...!!

## Kwa uamuzi wa jana wa hakimu, mahakama haiwezi kuukwepa uchafu huu ambayo kwa 100% maafisa wa mahakama wameshiriki

2. Inaweza kuathiri kesi yote na hivyo upande wa mashitaka kupoteza game yote...!!

## Hofu ya Jamhuri iko hapo na sijui wataupinduaje huo uamuzi Wa Jana Wa Jaji...
 
Nipo kabisa , tuendelee kuwepo hapa hapa ili tuone wapi panavuja
Salaam Kamanda nakusalimu tu, kiongozi.
Naambiwa kutoka mahakamani , wenye ushahidi ulioshiba, Al-Maarufu wasiojulikana, wamemteka JAJI , kwa maamuzi yake ya Jana,
JaJi aonekani kizimbani na wasiojulikana wameteka mahakama. wanatamba tu hapo , nje hawapo ndani hawapo.
 
Asilimia kubwa ya wafanyakazi wa serikali wanafanya kazi kimazoea hawapend kushughulisha bongo zao, wao wakishaajiriwa kila kitu kinaishia hapo hakuna kuumiza kichwa tofauti na wengine
 
Wale tuliambiwa na makamanda ni mabalozi wako wapi?
Au baada ya kujua mbivu na mbichi wameamua kila mtu abebe mzigo wake.
 
ERYTHROCYTE VIPI WAZUNGU SIKU HIZI WAMESHAKATA PUMZI YA KUSHABIKIA UGAIDI WA MBOWE?
 
Kama ilivyotokea kwa Nelson Mandela. Amen
 
Noma kweli !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…