Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 15, Nov 2021

ni sheria gani inayosema shahidi hatakiwi kuwa na material yeyote? wakati sheria inaruhusu kama kuna kitu unataka kufanya reference unaiomba mahakama na unasoma kabisa sehemu za kumbukumbu zako? acha kupoteza wenzako bush lawyer wewe.
Yeye aliomba mahakama?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
"COMPETENCY, COMPELLABILITY AND PRIVILEGE OF WITNESSES
Who may testify
(1) Every person shall be competent to testify unless the court considers that he is incapable of understanding the questions put to him or of giving rational answers to those questions by reason of tender age, extreme old age, disease (whether of body or mind) or any other similar cause...."

Shahidi hakua competent kwa ushahidi wake ndo maana ali ingia na dairy na kalamu ili imsaidie kukumbuka alicho kalilishwa.....hafai kua shahidi.
 

Kibatala: Sheria Inakataza na Mpaka kesi zipo za Marejeo Vifungu Vya 127 Vya Sheria ya Ushahidi,

Jaji: naomba Mkatumie Week end hii mkajidhirishe Kwa Kufanya Wasilisho Dogo Kuhusu Shahidi Kuwa na Diary Kizimbani.. Na Kuhusu simu tumrudishie...

Jaji: Ndiyo nimesema Jumatatu tutafanya Wasilisho hilo kwanza nini Madhara yake ya shahidi kuwa na Diary
 
Kesi ni process na siyo event..!!! Embu niambie, kama kila kinacholetwa mahakamani kinawekewa pingamizi kwenye kupokelewa na hakipokelewi kweli.. KESI KUU ITAENDESHWAJE ?
utashangaa kuan series of evidence nyingi, hiyo iliyokataliwa ni moja tu na haiathiri kesi nzima. na sidhani kwenye hiyo kesi kila kitu kimekataliwa kupokelewa na mahakama.
 
utashangaa kuan series of evidence nyingi, hiyo iliyokataliwa ni moja tu na haiathiri kesi nzima. na sidhani kwenye hiyo kesi kila kitu kimekataliwa kupokelewa na mahakama.
Na zenyewe zikikztaliwa je?
 
YAANI huo ujinga wenu wa kufurahia ugaidi unaingia nchini na watu wenye tamaa kina mbowe haukubaliki mbowe lazima alle miaka mingi sana na akiachiwa tunakuja kumpiga hata na mawe huku mtaani MBOWE GAIDI
We jamaa una ngozi ngum, duh?! Robo ndo usha-kufuru rohomtakatifu, hivo umebaki Kama boya tu!
 
ohooo kishanuka....

hawa mapolice walishamfanya Jaji babu yao na mahakama ni sehemu yao ya ukumbini, leo kimewageukia.
 
Mtu kakamatwa na nyaraka ya wizi mahakamani si wangeanza na huyo
Unajua jambo hili tusilichukulie rahisi rahisi. Haiwezekani mtu anaenda chumba cha mahakama cha kuhifadhi nyaraka, anaiba nyaraka halafu bila woga anakuja nayo mahakamani kuitumia kama ushahidi, anaulizwa umepataje hiyo nyaraka hana la kujibu halafu anaachwa tu hivi hivi! Hivi usalama wa nyaraka za serikali mahakamani ukoje? Hiyo ni nyara ya serikali.
 
Hvi mabalozi bado wanahudhuria hii case. Mbona aibu sana
 
Usikute kapewa tip na mmoja mawakili wa serikali.
 
Watu wanavyopiga Kelele juu ya kesi hii unaweza dhania kuwa Mbowe anajulikana sana hapa TZ kumbe ni boya mmoja tu.
We fala kweli huku mtani kwetu kuna mwanaccm mmoja anadai alikuwa hajui kama Mama yenu alikuwa Scotland, lakini anajua kuwa mbowe yupo mahakamani kwa kesi ya kusingiziwa na maccm menzake, kesi ya mbowe imemfunika mama na ziara zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…