Kibatala: MHESHIMIWA JAJI tunaomba Tujirizishe kama Shahidi hana Diary na Kama Kwenye Diary anaandika Chochote.. Na Pia kama Shahidi ana simu pale kizimbani.... Na Kama ameingia na Vitu Visivyoruhusiwa kizimbani tunaomba aondolewe kuwa Shahidi..
Kibatala: Zitoke pande mbili za Mawakili Chini ya Mahakama tukamkague Kwanza Kabla Kesi haijaendelea...
Shahidi: ANAONYESHA DIARY, PENI, KARATASI NA SIMU JUUUUUU kabla hajakaguliwa...
Kibatala: Tunaomba vitu hivyo viwe chini ya uangalizi wa mahakama kabla hatujaendelea na kesi
Afisa wa Mahakama anaenda Kizimbani Kuchukua DIARY, PENI na SIMU kutoka kwa shahidi wa Jamhuri.. Shahidi anatikisa kichwa kama ishara ya kusikitika... WS Pius Hilla anaendelea wakati shahidi anaendelea kusikitika...
Inamaana shahidi wa leo anapewa majibu kupitia simu? hii kesi wataumbuka sana, na kibaya zaidi kwao hii kesi kwenda live.