Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 15, Nov 2021

Kibatala: MHESHIMIWA JAJI tunaomba Tujirizishe kama Shahidi hana Diary na Kama Kwenye Diary anaandika Chochote.. Na Pia kama Shahidi ana simu pale kizimbani.... Na Kama ameingia na Vitu Visivyoruhusiwa kizimbani tunaomba aondolewe kuwa Shahidi..

Kibatala: Zitoke pande mbili za Mawakili Chini ya Mahakama tukamkague Kwanza Kabla Kesi haijaendelea...

Shahidi: ANAONYESHA DIARY, PENI, KARATASI NA SIMU JUUUUUU kabla hajakaguliwa...

Kibatala: Tunaomba vitu hivyo viwe chini ya uangalizi wa mahakama kabla hatujaendelea na kesi

Afisa wa Mahakama anaenda Kizimbani Kuchukua DIARY, PENI na SIMU kutoka kwa shahidi wa Jamhuri.. Shahidi anatikisa kichwa kama ishara ya kusikitika... WS Pius Hilla anaendelea wakati shahidi anaendelea kusikitika...

Inamaana shahidi wa leo anapewa majibu kupitia simu? hii kesi wataumbuka sana, na kibaya zaidi kwao hii kesi kwenda live.
 
Kisheria shahidi hatakiwi kuwa na materials yoyote pindi anapokuwa kizimbani kutoa ushahidi. Ila huyu wa leo Detective Constable Msemwa amekutwa na diary, pen na simu. Hii imeleta idea kwamba majibu yote aliyokuwa anaongozwa kuyatoa, ni kama alikuwa anayasoma.

Vitu vyote hivyo vimewekwa pendings, then baadae vitakaguliwa kuona endapo kuna details zinahusiana na hii kesi, then maamuzi yatafanyika.

My take:

Shahidi alipo ni mbele ya benchi la mawakili wa upande wa Jamhuri, how come wameshindwa kuliona ili kosa? Hata kama hapatakutwa na chochote kwenye hiyo diary cha kuathiri kesi, ila najiuliza hawa mawakili wa upande wa serikali, umakini wao upoje??

***** ******** ********* ******** ******** **

Updates:

Jaji amesema kutokana na swala la privacy ya shahidi, simu yake atarudishiwa. Ila diary itakaa chini ya uangalizi wa mahakama, then j3 utatolewa uhamuzi
 
Kibatala: MHESHIMIWA JAJI tunaomba Tujirizishe kama Shahidi hana Diary na Kama Kwenye Diary anaandika Chochote.. Na Pia kama Shahidi ana simu pale kizimbani.... Na Kama ameingia na Vitu Visivyoruhusiwa kizimbani tunaomba aondolewe kuwa Shahidi..

Kibatala: Zitoke pande mbili za Mawakili Chini ya Mahakama tukamkague Kwanza Kabla Kesi haijaendelea...

Shahidi: ANAONYESHA DIARY, PENI, KARATASI NA SIMU JUUUUUU kabla hajakaguliwa...

Kibatala: Tunaomba vitu hivyo viwe chini ya uangalizi wa mahakama kabla hatujaendelea na kesi

Afisa wa Mahakama anaenda Kizimbani Kuchukua DIARY, PENI na SIMU kutoka kwa shahidi wa Jamhuri.. Shahidi anatikisa kichwa kama ishara ya kusikitika... WS Pius Hilla anaendelea wakati shahidi anaendelea kusikitika...

Inamaana shahidi wa leo anapewa majibu kupitia simu? hii kesi wataumbuka sana, na kibaya zaidi kwao hii kesi kwenda live.
Ina maana shahidi amepanda kizimbani na kibomu au niaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na lazima kutakuwa na details tuu, maana hawezi kukaa na diary na pen buree tuu.

Screenshot_20211112-150733.jpg
 
Serikali ya CCM inajihusisha pia na kubumba ushahidi mahakamani katika kesi zao za kubumba dhidi ya Raia wema.
Hivi hata mdhikiri uchi nchi haiwezi kufanikiwa kwa chochote kile.
Ndio maana hata baada ya Majaliwa kutembelea mazoezi ya Taifa stars tumeambulia kipigo cha 0-3.
Balaa tupu, mpira tucheze sisi Masoli tulambwe sisi.
Serikali iache mambo ya nuksi
 
Kisheria shahidi hatakiwi kuwa na materials yoyote pindi anapokuwa kizimbani kutoa ushahidi. Ila huyu wa leo Detective Constable Msemwa amekutwa na diary, pen na simu. Hii imeleta idea kwamba majibu yote aliyokuwa anaongozwa kuyatoa, ni kama alikuwa anayasoma.

Vitu vyote hivyo vimewekwa pendings, then baadae vitakaguliwa kuona endapo kuna details zinahusiana na hii kesi, then maamuzi yatafanyika.

My take:

Shahidi alipo ni mbele ya benchi la mawakili wa upande wa Jamhuri, how come wameshindwa kuliona ili kosa? Hata kama hapatakutwa na chochote kwenye hiyo diary cha kuathiri kesi, ila najiuliza hawa mawakili wa upande wa serikali, umakini wao upoje??
ni sheria gani inayosema shahidi hatakiwi kuwa na material yeyote? wakati sheria inaruhusu kama kuna kitu unataka kufanya reference unaiomba mahakama na unasoma kabisa sehemu za kumbukumbu zako? acha kupoteza wenzako bush lawyer wewe.
 
Huku mwenendo wa kesi ukiwa unaendelea kwenye kesi ya uhujumu uchumi insyomkabili Freemani Mbowe na wenzake Shahidi wa upande wa mashitaka afande Msemwa amekutwa na Simu, dairy akiwa kizimbani.

Wakili wa utetezi Kibatala ameinia hoja hiyo mbele jaji leo

Screenshot_20211112-151610.png

Screenshot_20211112-151542.png

Screenshot_20211112-151212.png
 
Constebo ana hali ngumu. Hii inadhihirisha ile kauli ya Waziri Simbachawene kuwa hakuna mwenye division 1, 2 au 3 anayeweza kufanya kazi ya kulinda bank. Huyu shahidi wa leo ni kutoka kwenye lile kundi la walinzi. Amefundishwa namna ya kujibu katika hii kesi ya kutengenezwa, hakuelewa, ikabidi wampe na vikaratasi vya kudesa, lakini bado haikusaidia.
 
Back
Top Bottom