Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 22, 2021. Mahakama yatupilia mbali hoja tatu za utetezi. Kesi imeahirishwa hadi Novemba 23, 2021

Msajili atakuwa alioteshwa na roho mtakavitu.
Kwa hiyo barua anaweza hata Sugu akaja kuitumia kama ushahidi kwakuwa haijamtambulisha mtoa ushahidi.
Bora wangeandika TO WHOM IT MAY CONCERN.
Kibatala angepigwa pin kuuliza
 
Kwani jaji kuyakataa mapingamizi ndo mwisho wa kesi? Au kupokelewa jaji ameshasema mahakama mwisho wa kesi itaamua . Tunapaswa kuwapa watulivu. Mawakili wa utetezi wanajua wanachokifanya hasa haya mapingamizi. Wanajua aina ya majaji tulionao. Hapo inatengenezwa nguvu ya hoja kwenye rufaa. Mtaniambia ni swala la muda tu.
 
Kina Kibatala wote ni TISS. Waulize, I bet hawatakubali kwa sababu Section 7 inasena ni marufuku kumtaja mwana TISS. Ni kazi ngumu TISS, kazi ya heshima hapewi tom dick and harry.
 
Kina Kibatala wote ni TISS. Waulize, I bet hawatakubali kwa sababu Section 7 inasena ni marufuku kumtaja mwana TISS. Ni kazi ngumu TISS, kazi ya heshima hapewi tom dick and harry.
Mimi pia ni TISS, na nakuambia kina Kibatala siyo wenzetu!
 
Kwa hiyo barua anaweza hata Sugu akaja kuitumia kama ushahidi kwakuwa haijamtambulisha mtoa ushahidi.
Bora wangeandika TO WHOM IT MAY CONCERN.
Kibatala angepigwa pin kuuliza
Badaaaaaae ndiyo mtajua Kibatala ni nani katika Jamhuri ya muungano wa watu wa Tanzania ya afrika mashariki barani Afrika.
 
Badaaaaaae ndiyo mtajua Kibatala ni nani katika Jamhuri ya muungano wa watu wa Tanzania ya afrika mashariki barani Afrika.
Unaonaje status ya kesi hii je win win situation au Jamhuri itashida? Karibu mkuu
 
Shahidi hiyu ni aibu ya jaji .aliambiwa hana hadhi ya kusimama mahakamani jaji akang'ang'
ania .Aibu ya jaji na mahakama
Dawa ya siyekuwa msikivu ni kutokwa na damu masikioni kama kenge aliyelazimishwa kuwa msikivušŸ¤”.
 
Hivi huyu Tiganga ni jaji kweli ?.Maana naona anatoa maamuzi bila kutaja vifungu vya sheria vilivyomuongoza ktk kufikia maamuzi.anayoyafanya
 
Mkuu,
ushahidi wa kesi ya X DC, unafanana na ushahidi huu wa kesi ya Mh.Mbowe..??
Kwani ushahidi wa X KUB kwa upande wa jamhuri umefika mwisho? Lakini pia kumbuka ushahidi wa X DC wa hai na wa X KUB hautafanana kwa sababu matukio [facts of the case] ni tofauti.
 
Kunanabii kasema makamu ndugu Mpango atapokea kijiti 'ETI' kabla yamuda ulopangwa kupokezana....
Huwa anasali na kuoneshwa ninazo shahidi sake hivyo tumuombee kwenye kijiti lakini naye ajisafi kwanza...
Sio maneno yangu najua sote tunapita hapa duniani...
Maneno yangu ni tupite vyema hapa duniani huku tukitenda haki na kumcha Mungu katika kweli na kweli tupu!!
Mungu ibariki dunia,
Asanteni kwa kunisoma.
 
Maana yake Mawakili wa Chadema ni ovyo na ni watupu sana kisheria
Kilichofanyika ni kwamba mashahidi wa Mbowe wote wanasaini payment voucher serikalini. Soma uelewe siyo ukurupuke kubisha pasipo kuelewa kilichoandikwa.
 
MAWAKILI WA UTETEZI endeleni kukusanya taarifa zote za mashahidi wa serikali ili kulingana na mapungufu yao pamoja na jaji wao vije viwasaidie kwenye ya juu zaidi.Maana kwa hali ilivyo tayari hukumu imeshaandaliwa,kinachosubiriwa ni muda tu wa kusoma hukumu.Mungu muweza wa yote azidi kuwapa nguvu na afya njema ktk kazi yenu ya kuwatetea wanyonge.Inshallah Mungu atawalipa kwa kazi yenu.Wapenda haki wote tuseme AMINA.
 
Hizi hoja mfu ndizo zinafanya Chadema wanashindwa kwa kila kesi. Mahakama siyo jukwaa la siasa. Acheni kuwahadaa watu na hoja mfu kama hizi kwenye masuala ya kisheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…