Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo barua anaweza hata Sugu akaja kuitumia kama ushahidi kwakuwa haijamtambulisha mtoa ushahidi.Msajili atakuwa alioteshwa na roho mtakavitu.
Hapo sasa!! Mwaka mzima!Detention register imetumika Muda mrefu Sana. Tangu Julia 2020 Hadi July 2021?
Kwani jaji kuyakataa mapingamizi ndo mwisho wa kesi? Au kupokelewa jaji ameshasema mahakama mwisho wa kesi itaamua . Tunapaswa kuwapa watulivu. Mawakili wa utetezi wanajua wanachokifanya hasa haya mapingamizi. Wanajua aina ya majaji tulionao. Hapo inatengenezwa nguvu ya hoja kwenye rufaa. Mtaniambia ni swala la muda tu.Mapingamizi yote matatu Jaji Taganga kayakataa.
Kasema, eti kielelezo kilichopo chini ya mahakama si lazima kuwe na DISPOSAL ORDER kukitoa unless kesi iwe imemalizika na kielelezo hicho kitolewe kwa nia ya kukiharibu au kukirejesha serikali au kwa mwenyewe.
Hakuna haja ya kuwa na DISPOSAL ORDER ya kielelezo kilicho chini ya custody ya mahakama iwapo kielelezo hicho kinaendelea kutumika kwenye kesi inayoendelea ambayo hukumu yake haijatoka.
Mjadala unaendelea.
Kina Kibatala wote ni TISS. Waulize, I bet hawatakubali kwa sababu Section 7 inasena ni marufuku kumtaja mwana TISS. Ni kazi ngumu TISS, kazi ya heshima hapewi tom dick and harry.Jaji anatafuta kila njia ya kumfurahisha Samia. Labda pengine atabahatisha cheo kama mwenzake.
1) Jaji Mkuu - kada wa CCM aliyekuwa akishiriki vikao na Magufuli, Bashiru na Polepole
2) Msajili wa mahakama - TIS
2) Jaji Kiongozi - TIS
3) Jaji Tiganga - TIS (baada ya kesi lazima naye apewe cheo)
4) Wapo majaji wengine 8, wote waliteuliwa na marehemu kuwa majaji - TIS
Kesi ya Mbowe, haitasikilizwa na jaji yeyote wa mahakama, zaidi ya hawa maafisa wa TIS waliochomekwa mahakamani kuvuruga mfumo wa mahakama.
Mimi pia ni TISS, na nakuambia kina Kibatala siyo wenzetu!Kina Kibatala wote ni TISS. Waulize, I bet hawatakubali kwa sababu Section 7 inasena ni marufuku kumtaja mwana TISS. Ni kazi ngumu TISS, kazi ya heshima hapewi tom dick and harry.
Badaaaaaae ndiyo mtajua Kibatala ni nani katika Jamhuri ya muungano wa watu wa Tanzania ya afrika mashariki barani Afrika.Kwa hiyo barua anaweza hata Sugu akaja kuitumia kama ushahidi kwakuwa haijamtambulisha mtoa ushahidi.
Bora wangeandika TO WHOM IT MAY CONCERN.
Kibatala angepigwa pin kuuliza
Hata X DC wa hai angekuwa CDM mngekuwa mnalalamika hivi hivi.
Unaonaje status ya kesi hii je win win situation au Jamhuri itashida? Karibu mkuuBadaaaaaae ndiyo mtajua Kibatala ni nani katika Jamhuri ya muungano wa watu wa Tanzania ya afrika mashariki barani Afrika.
Dawa ya siyekuwa msikivu ni kutokwa na damu masikioni kama kenge aliyelazimishwa kuwa msikivu🤔.Shahidi hiyu ni aibu ya jaji .aliambiwa hana hadhi ya kusimama mahakamani jaji akang'ang'
ania .Aibu ya jaji na mahakama
Maana yake Mawakili wa Chadema ni ovyo na ni watupu sana kisheriaYaani kila pingamizi halina maana? Kazi ipo kweli kweli, njaa mbaya sana
Kwani ushahidi wa X KUB kwa upande wa jamhuri umefika mwisho? Lakini pia kumbuka ushahidi wa X DC wa hai na wa X KUB hautafanana kwa sababu matukio [facts of the case] ni tofauti.Mkuu,
ushahidi wa kesi ya X DC, unafanana na ushahidi huu wa kesi ya Mh.Mbowe..??
Kilichofanyika ni kwamba mashahidi wa Mbowe wote wanasaini payment voucher serikalini. Soma uelewe siyo ukurupuke kubisha pasipo kuelewa kilichoandikwa.Maana yake Mawakili wa Chadema ni ovyo na ni watupu sana kisheria
Hizi hoja mfu ndizo zinafanya Chadema wanashindwa kwa kila kesi. Mahakama siyo jukwaa la siasa. Acheni kuwahadaa watu na hoja mfu kama hizi kwenye masuala ya kisheria.Kumbe ndo maana alikataa kufanya Ijumaa alikuwa na consultation kutoka Chamwino Ikulu. Angetumia hata sheria basi, kukataa hilo Pingamizi. Lakn hapo katumia mamlaka, bila kujua kwamba kuna siku maamzi haya, yanaweza kuathiri kesi nyingine, yatakapotumika kama Rejea.
Anyway, naamini mbele ya Safari haya maamzi ya influence pasipo ku-base kwenye Sheria, kanuni na taratibu yatafikia kikomo. Na hii kesi itawaumbua. Eee mwenyezi Mungu, katika hili tunakuomba usimame na Mwenye Haki.