Kwa ujumla tupo katika laana kubwa.Mi naona kama taifa tumepatwa na msiba ambao hata anayecheka leo huko mbeleni atalia na pasiwepo wa kumfariji.
Pole sana wanaofikiria kuwa Samia ndiye mtu wa kuleta mabadiliko ya kuleta mifumo ya haki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ujumla tupo katika laana kubwa.Mi naona kama taifa tumepatwa na msiba ambao hata anayecheka leo huko mbeleni atalia na pasiwepo wa kumfariji.
Pole sana wanaofikiria kuwa Samia ndiye mtu wa kuleta mabadiliko ya kuleta mifumo ya haki.
Huu ndiyo mwanzo wa anguko la CCM. Jaji anahalalisha uongo kwa nguvu.sawa muheshimiwa Jaji, kazi iendelee !!
Mnajikakamua na jaji wenu kushindana na HAKI. Hakuna mwanadamu Wala malaika alishindana na HAKI AKASHINDA. Jaji Ni mpuuzi tu Kama wewe. Uwezi kusema nimeamua. Umeamua ndiyo kitu gani?. Hapo sheria na kanuni kaweka pembeni anatumia utashi wake tu. Jaji Ni zezeta sana alipaswa asema kwa mujibu wa Sheria mahakama inaamua hivi au vile. Alafu mbwa Kama huyu akifa utalaumu vipi watu kushangilia? Maana watu wataona Mungu kawaondokea teso katika maisha yao.Maamuzi haya yalijulikana toka mwanzo. Anatimiza alichoagizwa
Kwa hiyo humo mahakamani mnatafuta nini?
Hukumu inaweza kuwa chachu ya mabadiliko. !! CCM wasifikiri wapo salama sana kwenye maamuzi ya hii kesi ya kisiasa.Mimi sitafuatilia hii kesi! Nitangoja Hukumu ya MWISHO ya Mahakama!
Kwa kweli inakatisha tamaa!Hukumu inaweza kuwa chachu ya mabadiliko. !! CCM wasifikiri wapo salama sana kwenye maamuzi ya hii kesi ya kisiasa.
Sasa hivi hata mahakama za chini zinaiga mahakama za juuu zinavyoamua kwa upendeleo,hata mahakama za chini huko ni vilio na uonevu wa waziwazi haya anayofanya jaji yanaathiri mpaka mahakama za chini mahakimu wanaamua jinsi wanavyotakaHukumu inaweza kuwa chachu ya mabadiliko. !! CCM wasifikiri wapo salama sana kwenye maamuzi ya hii kesi ya kisiasa.
Polisi soma hiyooooooooooooKibatala: Fungua Entry namba 208.. Tarehe ngapi?
Shahidi: hapasomeki
ni mbaya sana hii kitu, hukumu za hivi zikitumika kama kielelezo huko mbeleni zitaumiza wengi sana.Sasa hivi hata mahakama za chini zinaiga mahakama za juuu zinavyoamua kwa upendeleo,hata mahakama za chini huko ni vilio na uonevu wa waziwazi haya anayofanya jaji yanaathiri mpaka mahakama za chini mahakimu wanaamua jinsi wanavyotaka
Kwa mtu asiyeelewa ndio atashabikia huu ujinga unaofanywa na hawa majaji kwa sababu za kisiasa,haya yanayoendelea yanaathiri mahakama zote sasa hivi mahakimu wana viburi wanaamua kesi wanavyotaka kwa vile wanaona huko juu wanavyofanyani mbaya sana hii kitu, hukumu za hivi zikitumika kama kielelezo huko mbeleni zitaumiza wengi sana.
yes, ni muda sasa kwa wapenda demokrasia kote Tanzania kuungana kwa pamoja na kupinga uharamu huu unaotaka kufanywa na serikali ya CCM kudhoofisha mawazo chanya ya Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi.Hii kesi ni CCM na vyombo vyake HARAMU dhidi ya ustawi wa demokrasia nchini, hawatafika popote.
Kigezo cha kwanza kabisa kabla ya kuteuliwa kuwa JAJI wa mahakama Kuu ni LAZIMA uwe KADA kidakindaki wa chama cha mapinduzi., kwa hiyo ndugu zangu haya maamuzi ya huyu Jaji huyu wala yasiwashangaze saana.Kwa sasa mfumo mzima wa mahakama umeoza.
Reasoning ya majaji wenyewe, ni aheri ya mahakimu wa mahakama za mwanzo enzi za Nyerere.
Mfumo wa Mahakama umeoza, kule bungeni ndo kabisaaaaa, Sasa tunafanyaje?Kwa sasa mfumo mzima wa mahakama umeoza.
Reasoning ya majaji wenyewe, ni aheri ya mahakimu wa mahakama za mwanzo enzi za Nyerere.